KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Ileje District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Ileje District Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Ileje District Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Ileje anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 14 Oktoba 2025 kuanzia saa (2:00) mbili kamili asubuhi.
Katika maeneo yafuatayo hapa chini.
- Ukumbi wa Community Center (Halmashauri ya Wilaya ya Ileje) kwa Kata za (Itumba, Isongole, Mlale, Ndola, Itale,Ibaba, Bupigu, Kalembo, Chitete na Mbebe).
- OFISI YA MTENDAJI KATA LUBANDA kwa Kata za (Lubanda, Ngulilo, Luswisi, Ngulugulu, na Sange.
- Ukumbi wa Shule ya Sekondari Kafule kwa Kata za (Kafule, Malangali na Ikinga.
Aidha kila Msailiwa afike na Vyeti halisi vifuatavyo hapa chini.
- Cheti cha kuzaliwa.
- Cheti cha Kidato cha Nne.
- Kitambulisho cha NIDA au Kitambulisho cha Mpiga Kura.
- Cheti cha Taaluma.
DONWLOAD PDF YA MAJINA HAPA
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Ileje District Council
