KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Temeke Municipal Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Temeke Municipal Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Temeke Municipal Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Chamazi, Mbagala na Temeke anawatangazia waombaji wote wa nafasi ya Msimamizi wa Kituo, Msimamizi Msaidizi wa Kituo na Karani Muongozaji Wapiga Kura Uchaguzi Mkuu 2025 waliochaguliwa kufika kwenye usaili utakaofanyika siku ya Jumatano ya Tarehe 15 Oktoba, 2025 katika Ofisi ya Kata ulipoona jina lako, kuanzia saa 1:30 Asubuhi
Waombaji wote wanatakiwa kuzingatia yafuatayo;
- Muda wa kuanza usaili ni 1:30 Asubuhi.
- Msailiwa atajigharamia gharama zote ikiwemo usafiri, chakula, na malazi.
- Fika ukiwa na kitambulisho kimojawapo kati ya hivi; NIDA, KURA, KAZI, CHUO, AU LESENI YA
UDEREVA.
Orodha ya majina ya waombaji waliochaguliwa kufanya usaili imeambatanishwa kwenye PDF hapa chini.
DONWLOAD PDF YA MAJINA HAPA
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Temeke Municipal Council
