NAFASI Za Kazi Athwal’s Transport and Timber

Filed in Ajira by on 13.03.2026 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kazi Athwal's Transport and Timber

NAFASI Za Kazi Athwal’s Transport and Timber

NAFASI Za Kazi Athwal’s Transport and Timber

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Athwal’s Transport and Timber Limited ni kampuni binafsi ya Kitanzania inayobobea katika usafiri, usafirishaji, na mbao, yenye ofisi iliyosajiliwa katika mkoa wa Tabora.

Kampuni hiyo inaendesha malori mazito (km, HOWO SINOTRUK) kwa ajili ya usafirishaji wa mizigo na imekuwa ikihusika katika masuala ya kisheria, kama vile kesi za ardhi katika Mahakama Kuu ya Tanzania.

Kampuni hiyo imetangaza Ajira Mpya 100 Za Madereva wa Magari Makubwa Pulling & Semi Kama Zilizoanishwa hapa chini .

Nafasi 100 za Kazi Dereva wa Magari Makubwa Pulling & Semi.

SIFA ZA MUOMBAJI

  • Elimu ya Darasa la Saba na Kuendelea.
  • Umri Kuanzia Miaka 25 hadi 45.
  • Awe na Uzoefu wa Kuendesha Magari Makubwa Kwa muda Usiopungua Miaka Mitano na Kuendelea.
  • Awe na Leseni hai Daraja ‘E’ ya Udereva iliyohakikiwa
  • Barua ya Serikali ya Mtaa anapoishi.
  • Barua ya Wadhamini ambao ni Madereva wenzake.
  • Vivuli vya Leseni, Vitambulisho Kama NIDA au Pasi ya Kusafiria na Cheti Cha Udereva.

Maombi yaletwe na Muombaji Mwenyewe Kuanzia tarehe ya Tangazo hili hadi Tarehe 15/04/2026.

OFISI IPO BARABARA YA KAZIMA JIRANI NA STESHENI TABORA.

MAWASILIANO: MENEJA – 0784 621 111/ 0787 373 325
MSAIDIZI – 0786 626 035/ 0768 666 017

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *