KUITWA Kwenye Usaili MDAs & LGAs 12/03/2026

KUITWA Kwenye Usaili MDAs & LGAs 12/03/2026
KUITWA Kwenye Usaili MDAs & LGAs 12/03/2026
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 27/03/2026 hadi 17/04/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo kwenye PDF hapa chini.