NAFASI Za Kazi TANROADS Iringa

NAFASI Za Kazi TANROADS Iringa
NAFASI Za Kazi TANROADS Iringa
Meneja wa TANROADS Mkoa wa Iringa kwa niaba ya Mtendaji Mkuu TANROADS inatafuta Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi zilizo wazi inapatikana kwa Ujenzi wa Barabara ya Manispaa ya Iringa hadi Kiwango cha Lami (Km 7.3) Mkataba Na. TR36/005/2023/2024/W/58.
Hivyo basi, TANROADS inakusudia kuajiri watumishi wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi kwa mikataba iliyoainishwa kwa ajili ya miradi iliyotajwa katika fani zifuatazo.
BOFYA HAPA KUDOWNLOAD PDF
