MABADILIKO ya Tarehe ya Usaili wa Vitendo TASHICO

Filed in Usaili by on 26.07.2025 0 Comments
Share This Post
MABADILIKO ya Tarehe ya Usaili wa Vitendo TASHICO

MABADILIKO ya Tarehe ya Usaili wa Vitendo TASHICO

MABADILIKO ya Tarehe ya Usaili wa Vitendo TASHICO

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Haya hapa Mabadiliko ya tarehe ya Usaili wa Vitendo Kutoka Kampuni ya Meli Tanzania.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anawajulisha waombaji kazi wote wa kada ya MARINE ENGINEER II, DECK OFFICER II, ONBOARD ATTENDANT II, ORDINARY SAILOR II, MOTORMAN II ambazo mwajiri wake ni Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) kuwa kuna mabadiliko ya ratiba ya usaili wa vitendo.

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *