NAFASI Za Kazi MDH Tanzania

Filed in Ajira by on 09.08.2025 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kazi MDH Tanzania

NAFASI Za Kazi MDH Tanzania

NAFASI Za Kazi MDH Tanzania

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Usimamizi na Maendeleo ya Afya (MDH) ni shirika la Kitanzania linalojitolea kushughulikia changamoto za afya ya umma kupitia programu na utafiti unaozingatia ushahidi.

Maeneo ya kipaumbele ya MDH ni pamoja na magonjwa ya kuambukiza (kama vile VVU, Kifua Kikuu, na Malaria), magonjwa yasiyoambukiza (NCDs), Afya ya Uzazi, Mama, Mtoto mchanga, Mtoto na Vijana (RMNCAH), lishe, na uimarishaji wa mifumo ya afya.

MDH inafanya kazi kwa Ushirikiano Mkubwa na Serikali ya Tanzania, hususan Wizara za Afya na Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (PO-TAMISEMI), pamoja na washirika wa ufadhili wa ndani na nje ya nchi, taasisi za kitaaluma na utafiti, asasi za kiraia, mashirika ya kidini na ya kijamii.

MHD Tanzania inatafuta watu wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa hapa chini kwenye PDF.

DONWLOAD PDF YA TANGAZO HAPA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *