TCU yaongeza muda wa Udahili wa Shahada ya Kwanza 2025/2026

Filed in Elimu by on 03.10.2025 0 Comments
Share This Post
TCU yaongeza muda wa Udahili wa Shahada ya Kwanza 2025/2026

TCU yaongeza muda wa Udahili wa Shahada ya Kwanza 2025/2026

TCU yaongeza muda wa Udahili wa Shahada ya Kwanza 2025/2026

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imeongeza muda wa Udahili wa Shahada ya Kwanza katika Vyuo vya Elimu ya Juu Nchini.

Dirisha la Udahili awamu hii ya tatu na ya mwisho litafunguliwa kuanzia tarehe 6 hadi 10 Oktoba, 2025

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *