nijuze's Latest Posts

NAFASI Za Kazi Bariadi District Council

Filed in Ajira by on 20.03.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Bariadi District Council

NAFASI Za Kazi Bariadi District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi kumi na moja (11) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Exim Bank Tanzania

Filed in Ajira by on 19.03.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Exim Bank Tanzania

NAFASI Za Kazi Exim Bank Tanzania Benki ya Exim (Tanzania) (EBT), ni benki ya biashara nchini Tanzania na ya pili kwa uchumi mkubwa katika Jumuiya ya Afrika Mashariki. Benki hiyo inawaalika watu wenye nia, ari Pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa Katika Tangazo hili la Ajira hapa chini. Kutuma Maombi, kuona Sifa na […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi GIZ Tanzania

Filed in Ajira by on 19.03.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi GIZ Tanzania

NAFASI Za Kazi GIZ Tanzania GIZ Tanzania and EAC ambaye ni Wakala wa maendeleo kama vile kuhifadhi maliasili, kuboresha afya na ulinzi wa kijamii, na kukuza jamii zenye amani na umoja anatangaza nafasi mpya za Kazi Kwa Watu wenye nia, ari, vigezo na Sifa kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa Katika Tangazo hili la Ajira. Kuona nafasi […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi TMHS Group Tanzania

Filed in Ajira by on 19.03.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi TMHS Group Tanzania

NAFASI Za Kazi TMHS Group Tanzania Tindwa Medical and Health Services (TMHS) ni Shirika la Afya linalotoa huduma mbalimbali za matibabu, afya, na usalama katika Afrika Mashariki. Tindwa Medical and Health Services inatoa huduma ya matibabu ya dharura, vifaa vya matibabu, huduma za afya ya kazini, usimamizi wa taka hatari, na zaidi. Tindwa Medical and […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Lake Cement Ltd

Filed in Ajira by on 19.03.2026 1 Comment
NAFASI Za Kazi Lake Cement Ltd

NAFASI Za Kazi Lake Cement Ltd Lake Cement Tanzania Ltd ni kampuni ya saruji nchini Tanzania iliyoanza uzalishaji kwenye mwaka 2014. Kiwanja chake kiko kwenye kata ya Kimbiji, Wilaya ya Kigamboni, Dar es Salaam. Inauza saruji yake kwa rajamu ya Nyati Cement. Kiwanda hicho kinaenea kwa eneo la hektari 100 huko Kimbiji kikiwa na uwezo […]

Continue Reading »

NAFASI 20 Za Kazi MIC Trust Investment Network

Filed in Ajira by on 18.03.2026 0 Comments
NAFASI 20 Za Kazi MIC Trust Investment Network

NAFASI 20 Za Kazi MIC Trust Investment Network Kampuni ya MIC Trust Investment Network inatangaza nafasi 20 Za Kazi (Airtel Lipa namba Team Leaders) kama zilivyoainishwa hapa chini. Tuma Maombi Kwa Salesteam@mictrustinvestment.co.tz au jobssales@mictrustinvestment.co.tz au 0675656558 Mwisho wa Kutuma Maombi ni tarehe 23 March 2026.

Continue Reading »

MATOKEO YA Usaili wa Vitendo TASHICO 17/03/2026

Filed in Usaili by on 18.03.2026 0 Comments
MATOKEO YA Usaili wa Vitendo TASHICO 17/03/2026

MATOKEO YA Usaili wa Vitendo TASHICO 17/03/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. ORDINARY SAILOR II

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Akiba Commercial Bank

Filed in Ajira by on 18.03.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Akiba Commercial Bank

NAFASI Za Kazi Akiba Commercial Bank Akiba Commercial Bank (ACB) ni benki ya biashara nchini Tanzania, ambayo ilianzishwa mwaka 1997 na wafanyabiashara wa Kitanzania kwa lengo la kuhudumia mahitaji ya kibenki kwa watanzania maskini zaidi ambao hadi sasa walikuwa hawana benki na hawahudumiwi na benki kubwa za biashara. Benki hiyo inatafuta kuajiri watu wenye nia, […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Liwale District Council

Filed in Ajira by on 17.03.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Liwale District Council

NAFASI Za Kazi Liwale District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi thelathini na moja (31) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 17/03/2026

Filed in Kuitwa Kazini by on 17.03.2026 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 17/03/2026

KUITWA Kazini UTUMISHI 17/03/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 21-03-2025 na tarehe 20-01-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »