nijuze's Latest Posts

NAFASI Za Kazi KIUT University Tanzania

Filed in Ajira by on 24.03.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi KIUT University Tanzania

NAFASI Za Kazi KIUT University Tanzania Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala nchini Tanzania (KIUT) kinawaalika watu binafsi wenye sifa na ari ya kuomba nafasi mbalimbali za masomo ndani ya taasisi yetu. Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala nchini Tanzania (KIUT) kinatafuta wataalamu wenye shauku walio tayari kuchangia katika ufundishaji, utafiti na maendeleo ya kitaaluma. […]

Continue Reading »

NAFASI 630 Za Kazi MDAs & LGAs March 2026

Filed in Ajira by on 24.03.2026 0 Comments
NAFASI 630 Za Kazi MDAs & LGAs March 2026

NAFASI 630 Za Kazi MDAs & LGAs March 2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 630 kama ilivyoainishwa kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI 158 Za Kazi WHI, MNH, UDOM, TBS, TPC, IAE, CBE, TFNC, NJUWASA, IRUWASA, LGTI, NECTA, MNMA Pamoja na ATC

Filed in Ajira by on 24.03.2026 0 Comments
NAFASI 158 Za Kazi WHI, MNH, UDOM, TBS, TPC, IAE, CBE, TFNC, NJUWASA, IRUWASA, LGTI, NECTA, MNMA Pamoja na ATC

NAFASI 158 Za Kazi WHI, MNH, UDOM, TBS, TPC, IAE, CBE, TFNC, NJUWASA, IRUWASA, LGTI, NECTA, MNMA Pamoja na ATC Kwa niaba ya Shirika la Posta Tanzania (TPC), Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), WATUMISHI UWEKEZAJI WA NYUMBA (WHI), Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira […]

Continue Reading »

MAVAZI rasmi unapoitwa Kwenye Usaili UTUMISHI

Filed in Usaili by on 21.03.2026 0 Comments
MAVAZI rasmi unapoitwa Kwenye Usaili UTUMISHI

MAVAZI rasmi unapoitwa Kwenye Usaili UTUMISHI Unapokuja kwenye usaili zingatia kuvaa mavazi rasmi na nadhifu, kushindwa kuvaa mavazi rasmi na mwonekano nadhifu kutakuondolea sifa ya kuendelea na usaili.

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Tabono Consult Limited

Filed in Ajira by on 21.03.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Tabono Consult Limited

NAFASI Za Kazi Tabono Consult Limited Tabono Consult Limited ni ishara ya Umoja wa Kusudi, Nguvu, Kujiamini na kufanya kazi kwa bidii. Kama jina linavyopendekeza Tabono imejitolea kuwapa wateja wake masuluhisho ambayo ni ya vitendo, yenye ufanisi na yanaongeza thamani kwa biashara huku ikihakikisha uendelevu na ushirikishwaji. Tabono Consult ilianzishwa mnamo 2020 huku kukiwa na […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Mirembe Hospital

Filed in Ajira by on 20.03.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Mirembe Hospital

NAFASI Za Kazi Mirembe Hospital Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe anawatangazia uwepo wa nafasi za kazi kwa Ajira ya Mkataba wa Kujitolea. Nafasi hizo zinahusu kada zifuatazo; Maafisa Wauguzi Wasaidizi (ANO), nafasi kumi na nne (14). Wasaidizi wa Afya (MATT) nafasi kumi (10). Dereva, nafasi moja (1) na Afisa […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi CRDB Bank PLC

Filed in Ajira by on 20.03.2026 2 Comments
NAFASI Za Kazi CRDB Bank PLC

NAFASI Za Kazi CRDB Bank PLC CRDB Bank Plc ni benki ya biashara nchini Tanzania, ambayo imepewa leseni na Benki Kuu ya Tanzania, benki kuu na mdhibiti wa benki wa kitaifa. Benki hiyo ilianzishwa Julai 1984, kama Benki ya Maendeleo Vijijini ya Ushirika (CRDB) ya Tanzania. Benki hiyo ilibinafsishwa mwaka 1996 na kuwa CRDB (1996) […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi NBC Bank Tanzania

Filed in Ajira by on 20.03.2026 4 Comments
NAFASI Za Kazi NBC Bank Tanzania

NAFASI Za Kazi NBC Bank Tanzania National Bank of Commerce Limited, au NBC Tanzania Limited, ni Benki ya Biashara nchini Tanzania. NBC Ni moja ya benki za biashara zilizopewa leseni na Benki Kuu ya Tanzania. Benki hiyo inatangaza nafasi Mbalimbali za Ajira Kwa Watu wenye nia, ari na sifa stahiki kama zilizvyoainishwa hapa chini. NAFASI […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi CVPeople Tanzania

Filed in Ajira by on 20.03.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi CVPeople Tanzania

NAFASI Za Kazi CVPeople Tanzania CVPeople Tanzania iliyoanza mwaka 2014 inatoa huduma za Vipaji na Kuajiri, CVPeople Tanzania ilimaliza ushirikiano wake na CVPeople Africa na sasa inafanya kazi kwa kujitegemea ndani ya nchi. CVPeople Tanzania inawaalika watu wenye nia, ari Pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoainishwa Katika Tangazo hili la Ajira. Nafasi Mpya […]

Continue Reading »

TANGAZO la Kuahirishwa Kwa Usaili UTUMISHI Machi 2026

Filed in Usaili by on 20.03.2026 0 Comments
TANGAZO la Kuahirishwa Kwa Usaili UTUMISHI Machi 2026

TANGAZO la Kuahirishwa Kwa Usaili UTUMISHI Machi 2026 Kufuatia uwepo wa Sikukuu ya Eid al-fitr inayotarajiwa kuadhimishwa tarehe 21-22 Machi, 2026, tunapenda kuwataarifu waombaji wote walioitwa kwenye usaili uliopangwa kufanyika tarehe 22 Machi, 2026 kuwa usaili huo hautafanyika kama ulivyopangwa. Aidha, tarehe mpya ya usaili itatangazwa kupitia akaunti zenu za Ajira Portal, pamoja na tovuti […]

Continue Reading »