nijuze's Latest Posts

RATIBA ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2026

Filed in Elimu by on 03.04.2026 0 Comments
RATIBA ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2026

RATIBA ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2026 Hii hapa Ratiba ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2026

Continue Reading »

MSIMAMO NBC Premier League 2025/2026

Filed in Michezo by on 03.04.2026 0 Comments
MSIMAMO NBC Premier League 2025/2026

MSIMAMO NBC Premier League 2025/2026 Ligi Kuu ya NBC Premier League Msimu wa 2025/2026 imenza rasmi tarehe 17 September 2025 na inatarajiwa kutamatika tarehe 23 May 2026. Klabu ya Young Africans ya Jijini Dar Es Salaam ndio Mabingwa watetezi wa Ligi hiyo wakibeba Ubingwa wa Msimu wa 2024/2025 Kwa jumla ya pointi 82 mbele ya […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Sorecu LTD

Filed in Ajira by on 03.04.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Sorecu LTD

NAFASI Za Kazi Sorecu LTD Chama kikuu cha Ushirika Mkoa wa Songwe (SORECU LTD) kimetangaza nafasi za kazi za muda maalum wa miezi mitatu (3) kwa kada mbalimbali. Hatua hii inakuja kufuatia maandalizi ya msimu mpya wa mauzo ya mazao ya wakulima katika mfumo wa Stakabadhi ghalani unaotarajiwa kufunguliwa mapema mwezi Aprili mwaka huu Ili […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 02/04/2026

Filed in Kuitwa Kazini by on 02.04.2026 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 02/04/2026

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 02/04/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. AFISA MIFUGO MSAIDIZI DARAJA LA II (LIVESTOCK FIELD OFFICER GRADE II) AFISA MIPANGO DARAJA LA II (PLANNING OFFICER GRADE II) EDITOR II EXAMINATIONS OFFICER […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe

Filed in Ajira by on 02.04.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe

NAFASI Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe kuomba nafasi za kazi za mkataba zilizotajwa hapo chini kuwasilisha maombi yao. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 02/2026

Filed in Kuitwa Kazini by on 02.04.2026 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 02/2026

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 02/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-04-2025 na tarehe 14-02-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 01/04/2026

Filed in Usaili by on 02.04.2026 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 01/04/2026

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 01/04/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. KATIBU WA KAMATI DARAJA LA II (COMMITTEE CLERK GRADE II) AFISA UKAGUZI WA NDANI DARAJA LA II (INTERNAL AUDIT OFFICER GRADE II) AFISA RASILIMALI […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Kitengule Hospital

Filed in Ajira by on 02.04.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Kitengule Hospital

NAFASI Za Kazi Kitengule Hospital Hospitali ya Kitengule ni kituo cha afya cha kibinafsi huko Tegeta Kibaoni, Dar es Salaam, Tanzania. Kituo hicho kinajulikana kwa kutoa huduma kamili ya tiba na kinga, kikijivunia zaidi ya muongo mmoja wa huduma, na kuwahudumia mamia ya wagonjwa kila siku kwa huduma kama vile huduma ya uzazi, dawa za […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi ITM Tanzania

Filed in Ajira by on 02.04.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi ITM Tanzania

NAFASI Za Kazi ITM Tanzania ITM Tanzania ni Kampuni inayoongoza na pana ya Maendeleo na Suluhu za Biashara. Timu yake ya wataalam, wenye ujuzi na uzoefu hutoa huduma na usaidizi ili kufikia malengo ya shirika kwa muda unaotarajiwa. ITM Tanzania ilianzishwa ili kutoa masuluhisho yaliyolengwa kwa wateja na kuwasaidia katika kutatua matatizo ya uendeshaji kwa […]

Continue Reading »

NAFASI 24 Za Kazi TIA na TMA April 2026

Filed in Ajira by on 01.04.2026 0 Comments
NAFASI 24 Za Kazi TIA na TMA April 2026

NAFASI 24 Za Kazi TIA na TMA April 2026 Kwa niaba ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) na Hali ya Hewa Tanzania Mamlaka (TMA), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inakaribisha wataalamu binafsi inaendeshwa na uadilifu, nguvu na kufaa waliohitimu Watanzania kujaza nafasi ishirini na nne (24) kama zilivyoainishwa hapa chini kwenye PDF. […]

Continue Reading »