nijuze's Latest Posts

MABORESHO Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2025/2026

Filed in Michezo by on 01.04.2026 0 Comments
MABORESHO Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2025/2026

MABORESHO Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2025/2026 Bodi ya Ligi kuu ya NBC Tanzania bara imefanya maboresho ya ratiba ya Ligi hiyo kwa msimu wa 2025/2026 ambapo mchezo wa dabi ya pili ya Kariakoo kwenye Ligi utapigwa Mei 3, 2026. Dabi ya pili ya Mzizima Kati ya wenyeji Azam FC dhidi ya Simba Sc […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Airtel Tanzania

Filed in Ajira by on 01.04.2026 2 Comments
NAFASI Za Kazi Airtel Tanzania

NAFASI Za Kazi Airtel Tanzania Airtel Tanzania Limited ni kampuni ya tatu kwa ukubwa ya mtandao wa simu nchini Tanzania inayoendeshwa na Airtel Africa, ambayo ni kampuni tanzu ya Bharti Airtel ya India, nyuma ya Vodacom Tanzania na Tigo/Yas Tanzania. Kampuni hii ni sehemu ya Airtel Africa, waendeshaji wa mtandao wa simu barani Afrika na […]

Continue Reading »

RATIBA ya Kombe la Dunia 2026

Filed in Michezo by on 01.04.2026 0 Comments
RATIBA ya Kombe la Dunia 2026

RATIBA ya Kombe la Dunia 2026 Mabingwa watetezi Argentina watafungua kampeni ya kutetea ubingwa wao kwa kucheza dhidi ya Algeria June 17, 2026 saa 10:00 alfajiri. Ratiba Kamili ya Kombe la Dunia 2026 imeambatanishwa hapa chini. BOFYA HAPA KUTAZAMA RATIBA KAMILI

Continue Reading »

SHERIA Mpya Kombe la Dunia 2026

Filed in Michezo by on 01.04.2026 0 Comments
SHERIA Mpya Kombe la Dunia 2026

SHERIA Mpya Kombe la Dunia 2026 Shirikisho la Mpira wa Miguu Dunia (FIFA) limetangaza mabadiliko matano yatakayotumika kwenye Kombe la Dunia 2026 kwa lengo la kupunguza upotevu wa muda na kuongeza kasi ya mchezo. Mchezaji anayefanyiwa mabadiliko atapaswa kutoka uwanjani ndani ya sekunde 10. Akichelewa, mchezaji wa kuingia atasubiri dakika moja kabla ya kuruhusiwa kuingia. […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Maswa District Council

Filed in Ajira by on 01.04.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Maswa District Council

NAFASI Za Kazi Maswa District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi kumi na nne (14) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 01 April 2026

Filed in Kuitwa Kazini by on 01.04.2026 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 01 April 2026

KUITWA Kazini UTUMISHI 01 April 2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 29-03-2025 na tarehe 14-02-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatano 01 April 2026

Filed in Usajili by on 01.04.2026 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatano 01 April 2026

MAGAZETI ya Leo Jumatano 01 April 2026 Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametangaza mpango kabambe wa kuanzisha Ligi ya Soka itakayohusisha wachezaji wazawa pekee nchini. Akizungumza jijini Arusha wakati wa ufunguzi wa kikao cha Maofisa Michezo na Utamaduni, Makonda amebainisha kuwa lengo ni kuwapa jukwaa vijana wa Kitanzania kuonesha vipaji vyao […]

Continue Reading »

BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli April 2026

Filed in Habari by on 01.04.2026 0 Comments
BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli April 2026

BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli April 2026 TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA PETROLI KUANZIA JUMATANO, TAREHE 1 APRILI 2026 Mabadiliko ya bei za mafuta nchini kwa mwezi Aprili 2026 yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na vita inayoendelea kati ya Marekani kwa kushirikiana na Israeli dhidi ya Irani iliyoanza tarehe […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Pathfinder Tanzania

Filed in Ajira by on 31.03.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Pathfinder Tanzania

NAFASI Za Kazi Pathfinder Tanzania Pathfinder International imefanya kazi nchini Tanzania kwa zaidi ya miongo sita, kuzingatia afya ya ngono na uzazi, afya ya mama na mtoto, upangaji uzazi, na kuzuia unyanyasaji wa kijinsia. Shirika hilo linaimarisha mifumo ya afya, huwafunza wafanyakazi wa afya ya jamii, na huunganisha afya ya uzazi na uhifadhi wa mazingira, […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 30-31/03/2026

Filed in Ajira by on 31.03.2026 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 30-31/03/2026

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 30-31/03/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. MWALIMU DARAJA LA III C – KIINGEREZA (ENGLISH) MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT GRADE II)

Continue Reading »