nijuze's Latest Posts

NAFASI Za Kazi JK Hospital

Filed in Ajira by on 24.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi JK Hospital

NAFASI Za Kazi JK Hospital ✅Position: Nurse Requirements: Minimum of 3 years’ experience. Experience in Patients care,Delivery and RCH Services. Proficiency in Electronic Health Record (EHR) systems. Strong computer skills and proficiency in Microsoft Office will be an added advantage. Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka JK Hospital Mode of Application: Apply via email only by […]

Continue Reading »

NAFASI 208 Za Kazi Selia Security Group Limited

Filed in Ajira by on 24.12.2025 0 Comments
NAFASI 208 Za Kazi Selia Security Group Limited

NAFASI 208 Za Kazi Selia Security Group Limited Kampuni ya Selia Security Group Limited inatangaza nafasi 208 Za Kazi Kwa watu wenye sifa stahiki kujaza zifuatazo hapa chini. ✅Walinzi (Nafasi 200) SIFA ZA MUOMBAJI Elimu: Kidato cha Nne Umri: 18-45 Urefu: 5’6″ (168cm) Afya nzuri Awe raia wa Tanzania Hana kesi ya jinai Mafunzo ya […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 23/12/2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 23.12.2025 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 23/12/2025

KUITWA Kazini UTUMISHI 23/12/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 23-04-2025 na tarehe 19-11-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi ASA Microfinance Limited

Filed in Ajira by on 23.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi ASA Microfinance Limited

NAFASI Za Kazi ASA Microfinance Limited ✅Position: Loan Officers (LO’s) – 50 Posts Job Responsibilities: To build and maintain a substantial and high-quality loan portfolio. To conduct members recruitment and screening. To orient clients to the particular loan products and services. To make groups in all working days in a week, minimum Total clients will […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Catholic University of Health and Allied Sciences

Filed in Ajira by on 23.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Catholic University of Health and Allied Sciences

NAFASI Za Kazi Catholic University of Health and Allied Sciences Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Afya na Sayansi Shirikishi (CUHAS), kinachomilikiwa na Tanzania Baraza la Maaskofu (TEC) kinatangaza nafasi Mbalimbali za Ajira Kwa Watu wenye nia, ari na sifa stahiki. Kuona nafasi hizo, Vigezo na Jinsi ya Kutuma Maombi tafadhali Donwload PDF ya Tangazo hapa chini. […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika Mwalimu Daraja la IIIA 20-21/12/2025

Filed in Usajili by on 22.12.2025 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Kuandika Mwalimu Daraja la IIIA 20-21/12/2025

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika Mwalimu Daraja la IIIA 20-21/12/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. MWALIMU DARAJA LA IIIA (TEACHER GRADE IIIA) WOTE (2)

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika Mwalimu Daraja la IIIA 20/12/2025

Filed in Usaili by on 21.12.2025 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Kuandika Mwalimu Daraja la IIIA 20/12/2025

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika Mwalimu Daraja la IIIA 20/12/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. MWALIMU DARAJA LA IIIA (TEACHER GRADE IIIA)

Continue Reading »

MFAHAMU Steven Robert Barker Kocha Mpya wa Simba SC

Filed in Michezo by on 20.12.2025 0 Comments
MFAHAMU Steven Robert Barker Kocha Mpya wa Simba SC

MFAHAMU Steven Robert Barker Kocha Mpya wa Simba SC Klabu ya Simba SC imetangaza kukamilisha Usajili wa Kocha wa Kimataifa wa Afrika Kusini, Steven Robert Barker, anayejulikana kama Steve Barker Kutoka Stellenbosch FC kwao Afrika Kusini. Steven Robert “Steve” Barker ni mchezaji wa zamani wa soka na kocha wa soka wa Afrika Kusini, ambaye sasa […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Igunga District Council

Filed in Ajira by on 20.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Igunga District Council

NAFASI Za Kazi Igunga District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi nne (04) Za Kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DOWNLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Ofisi ya Bunge 20/12/2025

Filed in Ajira by on 20.12.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Ofisi ya Bunge 20/12/2025

KUITWA Kwenye Usaili Ofisi ya Bunge 20/12/2025 Katibu wa Bunge Ofisi ya Bunge anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 20/12/2025 hadi 23/12/2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA KUITWA […]

Continue Reading »