nijuze's Latest Posts

WALIOCHAGULIWA Kujiunga na Kidato Cha Kwanza 2026

Filed in Elimu by on 05.12.2025 0 Comments
WALIOCHAGULIWA Kujiunga na Kidato Cha Kwanza 2026

WALIOCHAGULIWA Kujiunga na Kidato Cha Kwanza 2026 Serikali ya Tanzania imesema kuwa, kila mtahiniwa aliyefanya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi mwaka, 2025 na kupata jumla ya alama za ufaulu kati ya 121 hadi 300 amechaguliwa na kupangiwa shule ya Serikali. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Wizara ya Maliasili na Utalii

Filed in Ajira by on 04.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Wizara ya Maliasili na Utalii

NAFASI Za Kazi Wizara ya Maliasili na Utalii Wizara ya Maliasili na Utalii ni wizara ya serikali ya Tanzania yenye dhamana ya usimamizi wa maliasili na maliasili za utamaduni na kuendeleza sekta ya utalii. Ina aina mbalimbali za uwekezaji katika rasilimali mbalimbali za utalii na miradi ya sekta ya utalii. Wizara ya Maliasili na Utalii […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi EACOP Tanzania

Filed in Ajira by on 04.12.2025 2 Comments
NAFASI Za Kazi EACOP Tanzania

NAFASI Za Kazi EACOP Tanzania Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki ( EACOP ) Maarufu kama Bomba la Mafuta Ghafi la Uganda–Tanzania ( UTCOP ) ni bomba la mafuta ghafi la kilomita 1,443 ambalo linapangwa tangu 2013, ambalo linajengwa tangu 2017. Hadi kufikia Juni 2025, kazi ya ujenzi ilikuwa imekamilika asilimia Kwa 60. Linamilikiwa […]

Continue Reading »

WAGENI Ruksa Kumiliki Vitambulisho vya Taifa

Filed in Habari by on 04.12.2025 0 Comments
WAGENI Ruksa Kumiliki Vitambulisho vya Taifa

WAGENI Ruksa Kumiliki Vitambulisho vya Taifa Wageni wanaoishi kihalali Tanzania wanatakiwa kuwa na Vitambulisho vya Taifa kulingana na hadhi zao. Wanaostahili kuwa na vitambulisho ni Wageni Wakaazi wenye umri wa miaka 18 na zaidi, wanaoishi nchini kwa zaidi ya miezi sita ambao wana vibali vya ukaazi na kufanya kazi. Kundi jingine ni la Wakimbizi wanaotambuliwa […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Sandvik Mining & Construction Tanzania Limited

Filed in Ajira by on 04.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Sandvik Mining & Construction Tanzania Limited

NAFASI Za Kazi Sandvik Mining & Construction Tanzania Limited Sandvik Mining & Construction Tanzania Limited ni kampuni tanzu ya Tanzania ya kikundi cha kimataifa cha uhandisi Sandvik, kwa kuzingatia bidhaa na ufumbuzi kwaajili ya sekta ya madini na ujenzi. Sandvik Mining & Construction Tanzania Limited ilianzishwa mwaka wa 1999, ilikuwa ni Mtengenezaji Mkuu wa kwanza […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Kimaro Mobile Limited

Filed in Ajira by on 03.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Kimaro Mobile Limited

NAFASI Za Kazi Kimaro Mobile Limited Kimaro Mobile Limited ni kampuni yenye makazi yake nchini Tanzania ambayo inaonekana kuwa katika sekta ya mawasiliano ya simu au huduma za simu, ambayo ina uwezekano wa kutoa bidhaa kama vile simu za mkononi au huduma zinazohusiana, kama inavyoonyeshwa na jina lake na matangazo ya kazi. Kampuni ya Kimaro […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili MDAs & LGAs December 2025

Filed in Usaili by on 03.12.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili MDAs & LGAs December 2025

KUITWA Kwenye Usaili MDAs & LGAs December 2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 13/12/2025 hadi 23/12/2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Ellen White Pre and Primary School

Filed in Ajira by on 03.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Ellen White Pre and Primary School

NAFASI Za Kazi Ellen White Pre and Primary School Ofisi ya Meneja wa Ellen White School – Dodoma, inapenda kutangaza nafasi za kazi (29) za kada mbalimbali ili kuimarisha utendaji wake. Watu/Watanzania wote wenye sifa na uwezo wanaalikwa kutuma maombi yao ili kujaza nafasi za kazi kama zilivyoainishwa hapa chini kwenye PDF. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Arusha District Council

Filed in Ajira by on 03.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Arusha District Council

NAFASI Za Kazi Arusha District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi saba (7) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Ngara District Council

Filed in Ajira by on 03.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Ngara District Council

NAFASI Za Kazi Ngara District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri hii kuomba nafasi za kazi kumi (10) zilizotajwa hapo chini, baada ya kupokea kibali kutoka Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo […]

Continue Reading »