nijuze's Latest Posts

BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli December 2025

Filed in Habari by on 03.12.2025 0 Comments
BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli December 2025

BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli December 2025 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli zitakazotumika nchini kuanzia Jumatano ya tarehe 3 Desemba 2025 saa 6:01 usiku. Bei za rejareja na za jumla katika Mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara ni […]

Continue Reading »

WANAFUNZI 21851 Waliopewa Mikopo awamu ya tatu 2025/2026

Filed in Elimu by on 02.12.2025 0 Comments
WANAFUNZI 21851 Waliopewa Mikopo awamu ya tatu 2025/2026

WANAFUNZI 21851 Waliopewa Mikopo awamu ya tatu 2025/2026 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) (Jumatatu, Disemba 01, 2025) imetangaza awamu ya tatu ya upangaji mikopo na ruzuku kwa mwaka 2025/2026 yenye jumla ya wanafunzi 21,851. Idadi hii inajumuisha mikopo iliyopangwa katika Dirisha la Rufaa na waombaji wapya wanaoendelea na masomo kama […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Nyasa District Council

Filed in Ajira by on 02.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Nyasa District Council

NAFASI Za Kazi Nyasa District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Nyasa anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi mbili (02) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumanne 02 December 2025

Filed in Magazetini Leo by on 02.12.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumanne 02 December 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne 02 December 2025 Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, amesema kuwa miongoni mwa mambo yanayowasikitisha Watanzania kwa sasa ni kutokiri ukweli kwamba waliouawa wameuawa na nani, huku akihoji kwamba ilikuwaje vyombo vya usalama havikufanikiwa kuzuia mauaji yaliyojitokeza. Akizungumza na Jambo TV, Desemba 1, 2025, […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 01 December 2025

Filed in Magazetini Leo by on 01.12.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatatu 01 December 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 01 December 2025 Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amemwagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camilius Wambura kuondoa tamko la kumtafuta Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima na badala yake wamwache ajitokeze aendelee na ibada zake ili wajenge umoja wa kitaifa. Hatua hiyo inakuja siku saba baada […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Mafunzo ya Kujiunga na Jeshi la Magereza Tanzania 2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 30.11.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Mafunzo ya Kujiunga na Jeshi la Magereza Tanzania 2025

KUITWA Kwenye Mafunzo ya Kujiunga na Jeshi la Magereza Tanzania 2025 Mkuu wa Jeshi la Magereza anawatangazia vijana walioorodheshwa hapa chini kuwa wamechaguliwa kuhudhuria Mafunzo ya Awali ya Jeshi la Magereza yatakayoendeshwa katika Chuo cha Magereza, kilichopo Kiwira, Wilaya ya Rungwe, Mkoani Mbeya. Vijana hawa wanatakiwa kuripoti Ofisi za Magereza za Mikoa walikofanyia usaili au […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Mwanza City Council

Filed in Ajira by on 29.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Mwanza City Council

NAFASI Za Kazi Mwanza City Council Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi sita (06) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili UDSM 29/11/2025

Filed in Usaili by on 29.11.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili UDSM 29/11/2025

KUITWA Kwenye Usaili UDSM 29/11/2025 Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 05-12-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo kwenye Usaili hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

TAARIFA Muhimu Kuhusu Ajira 12,000 Za Walimu na Afya

Filed in Ajira by on 29.11.2025 0 Comments
TAARIFA Muhimu Kuhusu Ajira 12,000 Za Walimu na Afya

TAARIFA Muhimu Kuhusu Ajira 12,000 Za Walimu na Afya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete ameitaka Menejimenti ya Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kuharakisha na kuweka wazi mchakato wa ajira 12,000 zilizotangazwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 29 November 2025

Filed in Magazetini Leo by on 29.11.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumamosi 29 November 2025

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 29 November 2025

Continue Reading »