nijuze's Latest Posts

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 27 November 2025

Filed in Magazetini Leo by on 27.11.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Alhamisi 27 November 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 27 November 2025 Jeshi la Polisi nchini limesema linafanya uchunguzi kuhusu taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kutolewa na Mkuu wa Polisi Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya kwa waandishi wa habari kama ushauri kwa wamiliki wa vituo vya mafuta. Kwa mujibu wa taarifa ya jeshi hilo iliyotolewa Jumatano Novemba 26, […]

Continue Reading »

NAFASI Za Daktari wa Mifugo Cyber Mech Farms Limited

Filed in Ajira by on 27.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Daktari wa Mifugo Cyber Mech Farms Limited

NAFASI Za Daktari wa Mifugo Cyber Mech Farms Limited Cyber Mech Farms Limited inatangaza nafasi ya kazi za Daktari wa Mifugo (Veterinary Doctor) mwenye uwezo mkubwa wa kusimamia shughuli za mifugo kwa ufanisi, asiyehitaji kusimamiwa sana, anayejua kazi kwa vitendo na mwenye passion ya dhati katika fani ya mifugo. SIFA ZA MWOMBAJI Awe Na Certificate, […]

Continue Reading »

MSIMAMO UEFA Champions League 2025/2026

Filed in Michezo by on 27.11.2025 0 Comments
MSIMAMO UEFA Champions League 2025/2026

MSIMAMO UEFA Champions League 2025/2026 Msimamo huu ni wa muda hadi mechi zote za awamu ya Ligi zitakapochezwa na kuthibitishwa rasmi na UEFA. Uthibitishaji wa kufuzu/kuondolewa unatokana na msimamo wa muda na kwa hivyo ni kwa madhumuni ya mwongozo tu hadi mechi zote za awamu ya ligi zikamilike na msimamo wa mwisho kuthibitishwa na UEFA. […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Mwananchi Communications Ltd

Filed in Ajira by on 26.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Mwananchi Communications Ltd

NAFASI Za Kazi Mwananchi Communications Ltd Mwananchi Communications Ltd ni Kampuni tanzu ya Nation Media Group inayoongoza ya uchapishaji nchini Tanzania kwa kuchapisha na pia majukwaa ya mtandaoni. Kampuni hiyo ni wachapishaji wa gazeti maarufu la Kiswahili la kila siku Mwananchi na mengine kama vile The Citizen, Sunday Citizen, Mwananchi Jumapili, Mwananchi Scoop na Mwanaspoti […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Britam Holding PLC

Filed in Ajira by on 26.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Britam Holding PLC

NAFASI Za Kazi Britam Holding PLC Britam Holding PLC ni kikundi kinachoongoza cha huduma za kifedha na kimeorodheshwa kwenye Soko la Hisa la Nairobi. Kundi hilo linashiriki katika nchi saba za Afrika ambazo ni Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda, Sudan Kusini, Msumbiji na Malawi. Britam inatoa anuwai ya bidhaa na huduma za kifedha ambazo ni pamoja […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Rufiji Town Council

Filed in Ajira by on 26.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Rufiji Town Council

NAFASI Za Kazi Rufiji Town Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Rufiji anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi (04) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao hapa chini kwenye PDF. DOWNLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Kibaha Municipal Council

Filed in Ajira by on 26.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Kibaha Municipal Council

NAFASI Za Kazi Kibaha Municipal Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi tatu (3) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Ushetu District Council

Filed in Ajira by on 26.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Ushetu District Council

NAFASI Za Kazi Ushetu District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Wilaya ya Ushetu anawatangazia Watanzania wenye sifa ya kuomba nafasi za kazi tano (05) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Mbinga Town Council

Filed in Ajira by on 26.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Mbinga Town Council

NAFASI Za Kazi Mbinga Town Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi saba (07) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

MAAFISA Ugani Walioitwa kwenye Usaili Mlimba District Council

Filed in Usaili by on 26.11.2025 0 Comments
MAAFISA Ugani Walioitwa kwenye Usaili Mlimba District Council

MAAFISA Ugani Walioitwa kwenye Usaili Mlimba District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mlimba anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi ya Afisa Ugani (Extension Officer) kwenye mradi wa Mifumo ya Chakula, Matumizi ya Ardhi na Urejeshaji wa Uoto katika Mandhari (FOLUR), Mradi unafadhiliwa na Mfuko wa Mazingira wa Dunia (GEF) na Msimamizi […]

Continue Reading »