nijuze's Latest Posts

NAFASI Za Kazi Momba District Council

Filed in Ajira by on 28.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Momba District Council

NAFASI Za Kazi Momba District Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Momba anawatangazia watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi kumi (10) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Sun King Tanzania

Filed in Ajira by on 28.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Sun King Tanzania

NAFASI Za Kazi Sun King Tanzania Sun King ni Kampuni ya Greenlight Planet, hutoa bidhaa za bei nafuu, zinazotumia nishati ya jua kama vile taa na mifumo ya nyumbani kwa jumuiya zisizo kwenye gridi ya taifa nchini Tanzania na duniani kote. Sun King Tanzania hutumia ufadhili wa kulipa kadri uwezavyo kufanya nishati ya jua ipatikane […]

Continue Reading »

CAF Champions League Standings 2025/2026

Filed in Michezo by on 28.11.2025 0 Comments
CAF Champions League Standings 2025/2026

CAF Champions League Standings 2025/2026 Ligi ya Mabingwa ya CAF Maarufu (CAF Champions League) na hapo awali Kombe la Klabu Bingwa Afrika ni Mashindano ya kila mwaka ya Vilabu inayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na kushindaniwa na vilabu vya juu vya Afrika na kuamua washindi wa shindano hilo kupitia hatua ya makundi ya […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Ileje District Council

Filed in Ajira by on 28.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Ileje District Council

NAFASI Za Kazi Ileje District Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Ileje kuomba nafasi za kazi (19) zilizotajwa hapo chini, baada ya kupokea kibali kutoka Katibu Mkuu- Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Hermargs Health Institute

Filed in Ajira by on 28.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Hermargs Health Institute

NAFASI Za Kazi Hermargs Health Institute Taasisi ya Afya ya Hermargs ni taasisi ya kibinafsi iliyosajiliwa nchini Tanzania inayotoa mafunzo ya ufundi stadi katika afya na kazi za kijamii katika ngazi ya cheti na stashahada. Hermargs Health Institute inatoa kozi katika Sayansi ya Dawa, Tiba ya Kliniki, Sayansi ya Maabara ya Matibabu, na Kazi ya […]

Continue Reading »

NAFASI Za Madereva SHTL tanzania

Filed in Ajira by on 28.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Madereva SHTL tanzania

NAFASI Za Madereva SHTL tanzania Specialised Hauliers Tanzania Limited (SHTL) ni mmoja wa waendeshaji wa Malori maarufu nchini Tanzania, wakiwa na kundi la malori 480 yanayotunzwa vizuri ya kuvuta trela 3 za Axle Tipping kwa mizigo mingi na mizigo Na lori 50 zinazovuta trela za kitanda cha gorofa kwa shehena ya Kontena na Mifuko yenye […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 28 November 2025

Filed in Magazetini Leo by on 28.11.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 28 November 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 28 November 2025 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), James Kaji amesema kuwa kwa wale wananchi wenye vitambulisho vya NIDA ambavyo vinafutika maandishi sasa wanaweza kuvirudisha na kupewa vitambulisho vipya bure. Kaji ameyasema hayo Novemba 27, 2025 ambapo amesisitiza kuwa wale wote wanaopitia changamoto hiyo wafike na vitambulisho […]

Continue Reading »

TAARIFA Mpya Kwa Waliotuma Maombi Ajira Portal

Filed in Ajira by on 28.11.2025 0 Comments
TAARIFA Mpya Kwa Waliotuma Maombi Ajira Portal

TAARIFA Mpya Kwa Waliotuma Maombi Ajira Portal Waombaji kazi wote mliotuma maombi ya kazi za MDA’s & LGA’s na Taasisi nyingine. Mnatakiwa kuhuisha (update) taarifa katika akaunti zenu za ajira portal, kwa kuainisha mahali ulipo kwa sasa ili upangiwe kituo cha usaili karibu na eneo lako. Ili kuhuisha taarifa zako – nenda kwenye eneo la […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Msalala District Council

Filed in Ajira by on 27.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Msalala District Council

NAFASI Za Kazi Msalala District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Wilaya ya Msalala anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi nne (04) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

KIKOSI Cha Simba Kilichoifuata Stade Malien CAF Champions League 2025/2026

Filed in Michezo by on 27.11.2025 0 Comments
KIKOSI Cha Simba Kilichoifuata Stade Malien CAF Champions League 2025/2026

KIKOSI Cha Simba Kilichoifuata Stade Malien CAF Champions League 2025/2026 Kikosi cha Simba kimeondoka nchini Tanzania Alfjiri ya leo Alhamisi kuelekea Mali kwaajili ya mchezo wa pili wa hatua ya Makundi CAFCL dhidi ya Stade Malien ya Mali Mchezo huo utapigwa Jumapili hii ya Novemba 30 Mjini Bamako, Mali. Orodha Kamili ya wachezaji 21 Waliosafiri […]

Continue Reading »