nijuze's Latest Posts

MAGAZETI ya Leo Jumatano 26 November 2025

Filed in Magazetini Leo by on 26.11.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatano 26 November 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatano 26 November 2025

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 24 November 2025

Filed in Michezo by on 24.11.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatatu 24 November 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 24 November 2025

Continue Reading »

BONYEZA Mara Mbili Shida Mara Mbili na 1XBET

Filed in Michezo by on 24.11.2025 0 Comments
BONYEZA Mara Mbili Shida Mara Mbili na 1XBET

BONYEZA Mara Mbili Shida Mara Mbili na 1XBET X2Wednesday kutoka 1xBet Manufaa maradufu kwa wachezaji Kampuni ya kamari 1xBet huwa inawashangaza na kuwasisimua wateja wake. Walizindua ofa mpya inayoitwa X2Wednesday, ambayo tayari imevutia watu wengi wanaocheza. Wazo ni kupata bonasi ya hadi 100% ya amana iliyowekwa Jumatano, mradi tu ufuate hatua rahisi za ushiriki. X2Wednesday […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Kishapu District Council

Filed in Ajira by on 22.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Kishapu District Council

NAFASI Za Kazi Kishapu District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Wilaya ya Kishapu anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tano (05) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Walimu Chidya Secondary School

Filed in Ajira by on 22.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Walimu Chidya Secondary School

NAFASI Za Walimu Chidya Secondary School Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari Chidya iliyopo Mkoani Mtwara Wilaya ya Masasi, anawatangazia Nafasi Za Kazi Za Ualimu Kwa Masomo yafuatayo:- Biology Mathematics Chemistry English Language Physics SIFA ZA MUOMBAJI Awe Mtanzania Awe Mchapakazi Awe na Shahada /Stashahada ya Ualimu Kutoka Katika Vyuo Vinavyotambulika. Aweze Kuyamudu Vizuri […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 22 November 2025

Filed in Magazetini Leo by on 22.11.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumamosi 22 November 2025

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 22 November 2025 Tanzania imeporomoka kwa nafasi tano kwenye viwango vya ubora vya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) katika chati ya viwango ya mwezi Novemba. Kichapo cha mabao 4-3 ambacho timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ imekipata katika mechi ya kimataifa ya kirafiki, Novemba 15, 2025 kinaonekana kuchangia kwa kiasi […]

Continue Reading »

KALENDA ya Mihula ya Masomo Shule Za Awali, Msingi na Sekondari 2026

Filed in Elimu by on 22.11.2025 0 Comments
KALENDA ya Mihula ya Masomo Shule Za Awali, Msingi na Sekondari 2026

KALENDA ya Mihula ya Masomo Shule Za Awali, Msingi na Sekondari 2026 Yah: WARAKA WA ELIMU NA 06 WA MWAKA 2025 KUHUSU KALENDA YA MIHULA YA MASOMO KWA SHULE ZA AWALI, MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2026 Kwa kuzingatia umuhimu wa kuwa na idadi sahihi ya siku za masomo kwa mwaka kama mitaala inavyoelekeza, Wizara ya […]

Continue Reading »

MFUMO wa Maombi ya Ajira Tume ya Utumishi wa Mahakama

Filed in Ajira by on 21.11.2025 0 Comments
MFUMO wa Maombi ya Ajira Tume ya Utumishi wa Mahakama

MFUMO wa Maombi ya Ajira Tume ya Utumishi wa Mahakama Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia Watanzania wenye sifa zilizoainishwa hapa chini kwa kila nafasi ya kazi na ambao wako tayari kufanya kazi Mahakama ya Tanzania katika Mikoa na Wilaya mbalimbali kuleta maombi yao ya kazi 430 kama zilizoanishwa hapa chini. Mfumo wa Kujisajili na […]

Continue Reading »

WANAOWANIA Tuzo Za TFF 2024/2025

Filed in Michezo by on 21.11.2025 0 Comments
WANAOWANIA Tuzo Za TFF 2024/2025

WANAOWANIA Tuzo Za TFF 2024/2025 Tuzo Za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), msimu wa mwaka 2024/2025 zimepangwa kufanyika Desemba 5, 2025 ukumbi wa The Super Dome, Dar es Salaam. Tuzo zitakazotolewa zimegawanyika katika makundi makuu matano, ambayo ni Tuzo za Ligi Kuu ya NBC, Tuzo za Kombe la Shirikisho la CRDB, Tuzo za […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 21 November 2025

Filed in Magazetini Leo by on 21.11.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 21 November 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 21 November 2025 Mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize ameshinda tuzo ya Mfungaji wa bao bora la mwaka 2025 ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Mzize ametangazwa Mshindi wa kipengele hicho katika hafla ya utoaji tuzo hizo iliyofanyika Rabat, Morocco Jumatano ya Novemba 19, 2025. Bao hilo ni lile alilofunga […]

Continue Reading »