nijuze's Latest Posts

NAFASI Za Kazi Serengeti District Council

Filed in Ajira by on 20.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Serengeti District Council

NAFASI Za Kazi Serengeti District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tisa (09) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DOWNLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika Chuo Kikuu Cha Kilimo Cha Sokoine (SUA) 20/11/2025

Filed in Usaili by on 20.11.2025 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Kuandika Chuo Kikuu Cha Kilimo Cha Sokoine (SUA) 20/11/2025

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika Chuo Kikuu Cha Kilimo Cha Sokoine (SUA) 20/11/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. AGRIC GENERAL AGRONOMY BEE Civil&water Curriculum and Instruction DAIRY SCIENCES EDU PSYCHO Education foundation GEOMORPHOLOGY HRM HYDROGEOLOGY MATHEMATICS MEDICINE […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Chuo Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU)

Filed in Usaili by on 20.11.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Chuo Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU)

KUITWA Kwenye Usaili Chuo Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 24-11-2025 hadi 25-11-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Ikungi District Council

Filed in Ajira by on 20.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Ikungi District Council

NAFASI Za Kazi Ikungi District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Ikungi anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi nane (8) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Kilosa District Council

Filed in Ajira by on 20.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Kilosa District Council

NAFASI Za Kazi Kilosa District Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi nne (4) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DOWNLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Morogoro District Council

Filed in Ajira by on 20.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Morogoro District Council

NAFASI Za Kazi Morogoro District Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi saba (7) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Urambo District Council

Filed in Ajira by on 20.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Urambo District Council

NAFASI Za Kazi Urambo District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Urambo anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi kazi sita (6) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali Kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Uvinza District Council

Filed in Ajira by on 20.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Uvinza District Council

NAFASI Za Kazi Uvinza District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Wilaya ya Uvinza anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi saba (07) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Taasisi ya Uongozi 19/11/2025

Filed in Usaili by on 20.11.2025 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Taasisi ya Uongozi 19/11/2025

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Taasisi ya Uongozi 19/11/2025 Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Vitendo Taasisi ya Uongozi uliofanyika tarehe 19/11/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. INFORMATION TECHNOLOGY AND COMMUNICATION (ICT) OFFICER (SYSTEM ADMINISTRATOR) EXECUTIVE ASSISTANT

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

Filed in Ajira by on 19.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

NAFASI Za Kazi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa mamlaka aliyonayo kwa mujibu wa Kifungu cha 14(4) cha Sheria ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Sura ya 427, kikisomwa pamoja na Kanuni ya 5(1) ya Kanuni za Utumishi za Jeshi la Zimamoto na Uokoaji za mwaka 2008; […]

Continue Reading »