nijuze's Latest Posts

MAGAZETI ya Leo Jumatano 19 November 2025

Filed in Magazetini Leo by on 19.11.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatano 19 November 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatano 19 November 2025

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Taasisi ya Uongozi 18/11/2025

Filed in Usaili by on 19.11.2025 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Taasisi ya Uongozi 18/11/2025

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Taasisi ya Uongozi 18/11/2025 Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Vitendo Kutoka Taasisi ya Uongozi uliofanyika tarehe 18/11/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. MONITORING AND EVALUATION OFFICER COMMUNICATIONS OFFICER

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Mbulu Town Council

Filed in Ajira by on 19.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Mbulu Town Council

NAFASI Za Kazi Mbulu Town Council Mkurugenzi wa Mji wa Mbulu anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi kazi kumi (10) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali Kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

KUITWA Kazini JWTZ na JKT November 2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 19.11.2025 0 Comments
KUITWA Kazini JWTZ na JKT November 2025

KUITWA Kazini JWTZ na JKT November 2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 14-05-2025 na tarehe 26-08-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumanne 18 November 2025

Filed in Magazetini Leo by on 18.11.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumanne 18 November 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne 18 November 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametangaza Baraza jipya la Mawaziri, ambako takribani mawaziri saba waliohudumu katika baraza lililopita wakiwekwa pembeni. Walioachwa na wizara zao walizoziongoza kwenye baraza lililopita ni aliyekuwa Naibu Waziri Mkuu na aliyekuwa Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, Hussein Bashe […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama

Filed in Ajira by on 17.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama

NAFASI Za Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Aidha, Ibara ya 113 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Sheria ya Usimamizi wa Mahakama Sura 237 vinaipa Tume […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Siha District Council

Filed in Ajira by on 17.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Siha District Council

NAFASI Za Kazi Siha District Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi Nne (04) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DOWNLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Rombo District Council

Filed in Ajira by on 17.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Rombo District Council

NAFASI Za Kazi Rombo District Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi mbili (02) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DOWNLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Moshi Municipal Council

Filed in Ajira by on 17.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Moshi Municipal Council

NAFASI Za Kazi Moshi Municipal Council Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tano (5) katika Manispaa hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Singida District Council

Filed in Ajira by on 17.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Singida District Council

NAFASI Za Kazi Singida District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi kumi na tano (15) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »