nijuze's Latest Posts

NAFASI Za Kazi Korogwe Town Council

Filed in Ajira by on 17.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Korogwe Town Council

NAFASI Za Kazi Korogwe Town Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (M) Korogwe anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi saba (7) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

BARAZA Jipya la Mawaziri Tanzania 2025/2030

Filed in Habari by on 17.11.2025 0 Comments
BARAZA Jipya la Mawaziri Tanzania 2025/2030

BARAZA Jipya la Mawaziri Tanzania 2025/2030 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara 27 na kuteua mawaziri 27 na naibu mawaziri 29 aliowatangaza leo tarehe 17 Novemba, 2025 kama ifuatavyo hapa chini. Aidha, uapisho wa mawaziri na naibu mawaziri wateule utafanyika Ikulu Chamwino Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025 […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Missenyi District Council

Filed in Ajira by on 15.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Missenyi District Council

NAFASI Za Kazi Missenyi District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi nne (04) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DOWNLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Masasi Town Council

Filed in Ajira by on 15.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Masasi Town Council

NAFASI Za Kazi Masasi Town Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Masasi anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi Saba (7) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Mlele District Council

Filed in Ajira by on 15.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Mlele District Council

NAFASI Za Kazi Mlele District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi sita (06) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Tanganyika District Council

Filed in Ajira by on 15.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Tanganyika District Council

NAFASI Za Kazi Tanganyika District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi sita (06) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DOWNLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Biharamulo District Council

Filed in Ajira by on 15.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Biharamulo District Council

NAFASI Za Kazi Biharamulo District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi nne (04) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)

Filed in Usaili by on 15.11.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)

KUITWA Kwenye Usaili Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 20-11-2025 hadi 21-11-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 14 November 2025

Filed in Magazetini Leo by on 14.11.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 14 November 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 14 November 2025 Waziri Mkuu mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba amesema Kuwa Serikali yake itasimamia utekelezaji wa mpango mkakati wa ajira milioni nane kwa vijana, kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za umma na binafsi. Akizungumza Alhamisi ya Novemba 13, 2025, bungeni jijini Dodoma wakati akitoa maneno […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Taasisi ya Uongozi 13/11/2025

Filed in Usaili by on 13.11.2025 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Taasisi ya Uongozi 13/11/2025

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Taasisi ya Uongozi 13/11/2025 Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Vitendo Kutoka Taasisi ya Uongozi Uliofanyika tarehe 13/11/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. PROGRAMME DEVELOPMENT OFFICER CAPACITY DEVELOPMENT OFFICER

Continue Reading »