nijuze's Latest Posts

NAFASI Za Kazi Bukoba District Council

Filed in Ajira by on 11.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Bukoba District Council

NAFASI Za Kazi Bukoba District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba, anawatangazia wakazi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Ajira ya Halmashuari ya Wilaya ya Bukoba kama ilivyoanishwa hapa chini kwenye PDF. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Karatu District Council

Filed in Ajira by on 11.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Karatu District Council

NAFASI Za Kazi Karatu District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi sita (06) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Nyang’hwale District Council

Filed in Ajira by on 11.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Nyang’hwale District Council

NAFASI Za Kazi Nyang’hwale District Council Katibu wa Kampuni ya NDC anawatangazia Wananchi wote nafasi za kazi za muda katika Kiwanda cha Nishati Mbadala kilichopo Kata ya Kharumwa Wilaya ya Nyang’hwale Hivyo, anakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi kama zilivyoainishwa Kwenye PDF hapa Chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Busega District Council

Filed in Ajira by on 11.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Busega District Council

NAFASI Za Kazi Busega District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi saba (07) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumanne 11 November 2025

Filed in Magazetini Leo by on 11.11.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumanne 11 November 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne 11 November 2025 Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wabunge sita kwa mamlaka aliyonayo chini ya Ibara ya 66(1)(e) ya Katiba ya Tanzania inayompa mamlaka ya kuteua wabunge 10. Taarifa ya uteuzi wa wabunge hao imetolewa, Jumatatu Novemba 10, 2025 na kutiwa saini na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses […]

Continue Reading »

MKATABA wa Ufadhili wa Mtumishi Kuhudhuria Masomo ya Kujiendeleza Kitaaluma

Filed in Elimu by on 11.11.2025 0 Comments
MKATABA wa Ufadhili wa Mtumishi Kuhudhuria Masomo ya Kujiendeleza Kitaaluma

MKATABA wa Ufadhili wa Mtumishi Kuhudhuria Masomo ya Kujiendeleza Kitaaluma Mkataba huu utatumika endapo Mfadhiliwa atahudhuria masomo kwa kozi ya muda wa zaidi ya miezi tisa kwa kufadhiliwa gharama zote au sehemu ya gharama za mafunzo na Serikali. Mfadhiliwa anayeenda kusoma kozi (za aina yoyote) za muda mrefu za elimu ya juu ndani na nje […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Bukoba Municipal Council

Filed in Ajira by on 11.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Bukoba Municipal Council

NAFASI Za Kazi Bukoba Municipal Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba kwa mujibu wa Kanuni ya 111(4)(a) ya Kanuni za Utumishi wa Umma za mwaka 2022 anatangaza nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Ajira ya Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba kama ilivyoanishwa hapa chini kwenye PDF. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Wasambaza Nyaraka Baraza la Ardhi NA Nyumba la Wilaya

Filed in Ajira by on 10.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Wasambaza Nyaraka Baraza la Ardhi NA Nyumba la Wilaya

NAFASI Za Wasambaza Nyaraka Baraza la Ardhi NA Nyumba la Wilaya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inakaribisha maombi ya Wasambaza Nyaraka wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya kwa Mikoa ya Iringa, Katavi, Kigoma, Kilimanjaro, Lindi, Manyara, Mtwara, Njombe, Rukwa, Ruvuma, Shinyanga, Simiyu, Singida na Tabora Kutuma Maombi yao Kama ilivyoanishwa […]

Continue Reading »

NAFASI Za Udalali Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya

Filed in Ajira by on 10.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Udalali Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya

NAFASI Za Udalali Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inakaribisha maombi ya Udalali wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya kwa Mikoa ya Iringa, Katavi, Kigoma, Kilimanjaro, Lindi, Manyara, Mtwara, Njombe, Rukwa, Ruvuma, Shinyanga, Simiyu, Singida na Tabora. Waombaji wanatakiwa wawe na sifa zifuatazo kwenye […]

Continue Reading »