nijuze's Latest Posts

NAFASI Za Kazi Iringa Municipal Council

Filed in Ajira by on 13.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Iringa Municipal Council

NAFASI Za Kazi Iringa Municipal Council Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi sita (06) za kazi katika Manispaa hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Bukombe District Council

Filed in Ajira by on 13.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Bukombe District Council

NAFASI Za Kazi Bukombe District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Bukombe anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi kumi na tatu (13) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini.  

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Mbogwe District Council

Filed in Ajira by on 13.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Mbogwe District Council

NAFASI Za Kazi Mbogwe District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Mbogwe anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi (09) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Ufadhili wa Masomo na Tafiti  Ubalozi wa Tanzania nchini Japan

Filed in Elimu by on 12.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Ufadhili wa Masomo na Tafiti  Ubalozi wa Tanzania nchini Japan

NAFASI Za Ufadhili wa Masomo na Tafiti  Ubalozi wa Tanzania nchini Japan FURSA MBALIMBALI ZA UFADHILI WA MASOMO NA TAFITI ZILIZOPO NCHINI JAPAN (SCHOLARSHIPS FOR INTERNATIONAL STUDENTS IN JAPAN) Ubalozi unapenda kutoa taarifa kuhusu uwepo wa fursa mbalimbali za ufadhili wa masomo na tafiti nchini Japan, zinazotolewa na Serikali ya Japan na wadau wengine wa […]

Continue Reading »

NAFASI Za Ufadhili wa Masomo Ngazi ya Shahada ya Uzamili Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani 2026/2027

Filed in Ajira by on 12.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Ufadhili wa Masomo Ngazi ya Shahada ya Uzamili Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani 2026/2027

NAFASI Za Ufadhili wa Masomo Ngazi ya Shahada ya Uzamili Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani 2026/2027 FURSA ZA UFADHILI WA MASOMO KATIKA NGAZI YA SHAHADA YA UZAMILI (MASTER’S DEGREE) Ubalozi unapenda kuwaarifu Watanzania kuhusu uwepo wa fursa za ufadhili wa masomo katika ngazi ya Shahada ya Uzamili (Master’s Degree) kwa mwaka wa masomo 2026/2027 katika […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Aga Khan University

Filed in Ajira by on 12.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Aga Khan University

NAFASI Za Kazi Aga Khan University ✅Position: Farm Manager Job Purpose/Summary The Farm Manager will have a crucial role in ensuring the smooth running of the nursery, reforestation, and farm-related activities to meet the long-term objective of environmental sustainability of the Arusha site as well as the greening initiatives of AKU. These will be achieved […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Jeshi la Magereza 2025

Filed in Usaili by on 12.11.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Jeshi la Magereza 2025

KUITWA Kwenye Usaili Jeshi la Magereza 2025 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza anawatangazia vijana walioomba ajira kupitia Mfumo wa Ajira wa Jeshi la Magereza (Tanzania Prisons Service Recruitment Management System (TPSRMS)), kwamba kutakuwa na usaili wa vijana waliokidhi vigezo vya awali. Usaili huo utafanyika Makao Makuu ya Jeshi la Magereza na kwenye Ofisi za […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Longido District Council

Filed in Ajira by on 12.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Longido District Council

NAFASI Za Kazi Longido District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi kumi na saba (17) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

KUITWA Kazini Rombo District Council 12/11/2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 12.11.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Rombo District Council 12/11/2025

KUITWA Kazini Rombo District Council 12/11/2025 Kutokana na Usaili Ulioanyika tarehe 26/03/2025 Kwa Kazi ya Ukusanyaji wa Mapato Katika Halmashauri ya Wilaya ya Rombo, Mkurugenzi Mtendaji anawataarifu Washindi wa Kundi la Kwanza Kuripoti Kazini tarehe 14/11/2025 Aidha, Wahusika Wote Wafike na Vyeti Vyao Halisi, Kitambulisho Cha Taifa na Passport. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatano 12 November 2025

Filed in Magazetini Leo by on 12.11.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatano 12 November 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatano 12 November 2025 Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam imepanga kutoa uamuzi wa uhalali wa hati ya kesi ya uhaini inayomkabili mfanyabiashara Jenifer Jovin (26), maarufu Niffer na wenzake 21, Novemba 25, 2025. Mahakama hiyo imepanga tarehe hiyo kutoa uamuzi huo, Jumanne, Novemba 11, 2025, baada ya kukamilisha usikilizwaji wa […]

Continue Reading »