nijuze's Latest Posts

NAFASI Za Ufadhili wa Masomo Belarus 2026/2027

Filed in Elimu by on 03.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Ufadhili wa Masomo Belarus 2026/2027

NAFASI Za Ufadhili wa Masomo Belarus 2026/2027 Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inapenda kuwafahamisha wananchi kwa ujumla kwamba Serikali ya Jamhuri ya Belarus inatoa utafiti unaofadhiliwa na serikali nafasi (usomi wa sehemu)) zinazopatikana kwa raia wa kigeni kwa 2026/2027 mwaka wa masomo. Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaokidhi sifa vigezo vinaalikwa Kutuma […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Christian Blind Mission Tanzania (CBM)

Filed in Ajira by on 03.11.2025 1 Comment
NAFASI Za Kazi Christian Blind Mission Tanzania (CBM)

NAFASI Za Kazi Christian Blind Mission Tanzania (CBM) CBM (iliyosajiliwa kama Christoffel-Blindenmission Christian Blind Mission eV) ni shirika la maendeleo la kimataifa linalojitolea kuboresha ubora wa maisha ya watu wenye ulemavu katika jumuiya za watu Duniani. Nchini Tanzania, CBM inashirikiana na mashirika ya ndani kutekeleza programu zinazozingatia ushirikishwaji wa walemavu, afya ya macho shirikishi, na […]

Continue Reading »

DROO ya CAF Confederation Cup 2025/2026 hatua ya Makundi

Filed in Michezo by on 03.11.2025 0 Comments
DROO ya CAF Confederation Cup 2025/2026 hatua ya Makundi

DROO ya CAF Confederation Cup 2025/2026 hatua ya Makundi Droo ya hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup 2025/2026) imefanyika Leo Jumatatu tarehe 3 November 2025 huko Afrika Kusini. Katika droo hiyo Kutakuwa na Derby ya Misri baada ya Zamalek na Al Masry kupangwa Kundi moja (Kundi D) Pamoja na […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi World Bank Tanzania

Filed in Ajira by on 03.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi World Bank Tanzania

NAFASI Za Kazi World Bank Tanzania Benki ya Dunia (WBG) ni Benki iyonasaidia maendeleo ya Tanzania kupitia ruzuku, mikopo na uchambuzi wa sera, kwa kuzingatia miradi ya miundombinu, ukuaji wa sekta binafsi na mtaji wa watu. Mfumo wa sasa wa Ubia wa Nchi wa Kundi la Benki ya Dunia kwa Tanzania (FY2025-2029) unasisitiza kuimarisha mtaji […]

Continue Reading »

DROO ya CAF Champions League Hatua ya Makundi 2025/2026

Filed in Michezo by on 03.11.2025 0 Comments
DROO ya CAF Champions League Hatua ya Makundi 2025/2026

DROO ya CAF Champions League Hatua ya Makundi 2025/2026 Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeendesha na kukamilisha Droo ya hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika katika studio za Mshirika wa CAF Broadcast Partner SuperSport mjini Johannesburg leo Jumatatu ya November 03/2025. Katika droo hiyo timu za RS Berkane na Pyramids FC […]

Continue Reading »

SIMBA Yapangwa Kundi D CAF Champions League 2025/2026

Filed in Michezo by on 03.11.2025 0 Comments
SIMBA Yapangwa Kundi D CAF Champions League 2025/2026

SIMBA Yapangwa Kundi D CAF Champions League 2025/2026 Klabu ya Simba imepangwa Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa na miamba ya Tunisia Espérance Sportive de Tunis, Atlético Petróleos de Luanda ya Angola Pamoja na Stade Malien ya Mali. Droo ya Michuano hiyo imepangwa leo mchana Mjini Cairo, Misri. Hatua ya Makundi itaanza wiki ya […]

Continue Reading »

YANGA Yapangwa Kundi B CAF Champions League 2025/2026

Filed in Michezo by on 03.11.2025 0 Comments
YANGA Yapangwa Kundi B CAF Champions League 2025/2026

YANGA Yapangwa Kundi B CAF Champions League 2025/2026 Droo ya hatua ya Makundi ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAF Champions League 2025/2026) imefanyika Leo Jumatatu tarehe 3 November 2025 huko Afrika Kusini. Klabu ya Yanga Katika droo hiyo imepangwa Kundi B Pamoja na miamba ya soka Afrika Ahly ya Misri. Timu nyingine […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi NCBA Bank Tanzania Limited

Filed in Ajira by on 29.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi NCBA Bank Tanzania Limited

NAFASI Za Kazi NCBA Bank Tanzania Limited NCBA Bank Tanzania Limited, ni benki iliyounganishwa kati ya Commercial Bank of Africa (Tanzania) na NIC Bank Tanzania. NCBA ni benki ya biashara nchini Tanzania iliyopewa leseni na Benki Kuu ya Tanzania. Benki ya NCBA Tanzania Limited inawaalika watu wenye nia, ari na sifa stahiki kujaza nafasi zilizo […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025

Filed in Habari by on 29.10.2025 0 Comments
MATOKEO ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025

MATOKEO ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 Watanzania wanapiga kura leo Jumatano tarehe 29 October 2025 katika uchaguzi mkuu ambao Rais Samia Suluhu Hassan anachuana na wagombea kutoka vyama vingine Vya Siasa. Wapiga Kura Watamchagua Rais, Wabunge, Madiwani na Wawakilishi. Aidha Uchaguzi wa leo unafanyika bila ya chama kikuu cha upinzani CHADEMA, ambacho mwenyekiti wake […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatano 29 October 2025

Filed in Magazetini Leo by on 29.10.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatano 29 October 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatano 29 October 2025

Continue Reading »