nijuze's Latest Posts

MATOKEO ya Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Dar Es Salaam

Filed in Elimu by on 05.11.2025 0 Comments
MATOKEO ya Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Dar Es Salaam

MATOKEO ya Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Dar Es Salaam Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) Mwaka 2025 Kwa Mkoa wa Dar Es Salaam . Ili kuona Matokeo ya Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Dar Es Salaam tafadhali bonyeza link hapa chini. MATOKEO […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Arusha

Filed in Elimu by on 05.11.2025 0 Comments
MATOKEO ya Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Arusha

MATOKEO ya Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Arusha Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) Mwaka 2025 Kwa Mkoa wa Arusha Ili kuona Matokeo ya Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Arusha tafadhali bonyeza link hapa chini. MATOKEO DARASA LA SABA 2025 ARUSHA REGION

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Silverleaf Academy

Filed in Ajira by on 05.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Silverleaf Academy

NAFASI Za Kazi Silverleaf Academy Silverleaf Academy ni Shule za kibinafsi za awali na msingi nchini Tanzania zinazosomesha watoto wenye umri wa miaka 2-14. Dhamira yao ni kuzipa familia za kipato cha chini nchini Tanzania mafunzo ya hali ya juu katika viwango vya bei nafuu. Kwa kutumia mtaala wa kitaifa wa Tanzania, shule za Silverleaf […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatano 05 November 2025

Filed in Magazetini Leo by on 05.11.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatano 05 November 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatano 05 November 2025

Continue Reading »

BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Tanzania November 2025

Filed in Habari by on 05.11.2025 0 Comments
BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Tanzania November 2025

BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Tanzania November 2025 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kwa Tanzania Bara zitakazotumika kuanzia Jumatano ya tarehe 5 Novemba 2025 saa 6:01 usiku. Kwa mwezi Novemba 2025, bei za rejareja na za jumla katika Mikoa ya […]

Continue Reading »

RATIBA ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2025, CSEE 2025 Exam Timetable

Filed in Elimu by on 04.11.2025 0 Comments
RATIBA ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2025, CSEE 2025 Exam Timetable

RATIBA ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2025, CSEE 2025 Exam Timetable Ratiba ya Mtihani wa Kitaifa wa Kidato cha Nne (CSEE) 2025 kutoka Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA). Katika taarifa hii tumekuletea tarehe rasmi za Mtihani wa Kidato Nne (CSEE) 2025 pamoja na maelekezo muhimu, mahitaji muhimu kwa wanafunzi ili wafanye vizuri katika […]

Continue Reading »

RATIBA ya Mtihani wa Kidato cha Pili 2025

Filed in Elimu by on 04.11.2025 0 Comments
RATIBA ya Mtihani wa Kidato cha Pili 2025

RATIBA ya Mtihani wa Kidato cha Pili 2025, FTNA 2025 Exam Timetable Ratiba ya Mtihani wa Kitaifa wa Kidato cha Pili (FTNA) 2025 kutoka Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA). Katika taarifa hii tumekuletea tarehe rasmi za Mtihani wa Kidato cha Pili (FTNA) na Ratiba ya Mtihani Kidato Cha Pili cha Kidato cha Pili kwa […]

Continue Reading »

RATIBA ya Yanga Hatua ya Makundi CAF Champions League 2025/2026

Filed in Michezo by on 04.11.2025 0 Comments
RATIBA ya Yanga Hatua ya Makundi CAF Champions League 2025/2026

RATIBA ya Yanga Hatua ya Makundi CAF Champions League 2025/2026RATIBA ya Yanga Hatua ya Makundi CAF Champions League 2025/2026 Klabu ya Young Africans itaanzia nyumbani dhidi ya AS Far na kumalizia nyumbani dhidi ya JS Kabylie kwenye hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League 2025/2026) Ratiba Kamili ya Kundi B CAF Champions […]

Continue Reading »

RATIBA ya Simba Hatua ya Makundi Champions League 2025/2026

Filed in Michezo by on 04.11.2025 0 Comments
RATIBA ya Simba Hatua ya Makundi Champions League 2025/2026

RATIBA ya Simba Hatua ya Makundi Champions League 2025/2026 Klabu ya Simba SC itaanzia nyumbani dhidi ya Atlético Petróleos na kumalizia nyumbani dhidi ya Stade Malien kwenye hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League 2025/2026). Ratiba Kamili ya Mechi Za Kundi D CAF Champions League 2025/2026 21-23 November 2025 ES Tunis vs […]

Continue Reading »

RAIS Samia Suluhu Hassan aapishwa Chamwino Dodoma

Filed in Habari by on 04.11.2025 0 Comments
RAIS Samia Suluhu Hassan aapishwa Chamwino Dodoma

RAIS Samia Suluhu Hassan aapishwa Chamwino Dodoma Dkt. Samia Suluhu Hassan ameapishwa rasmi kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Sherehe zilizofanyika Leo Jumatatu tarehe 3 November 2025. Mbali ya Rais Samia, Dkt. Emmanuel John Nchimbi naye amekula kiapo cha kuwa Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais Samia Suluhu […]

Continue Reading »