nijuze's Latest Posts

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 25 October 2025

Filed in Magazetini Leo by on 25.10.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumamosi 25 October 2025

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 25 October 2025 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetahadharisha kuwepo na uwezekano wa mvua kubwa, upepo mkali na mawimbi makubwa baharini. Taarifa iliyotolewa na TMA Ijumaa Oktoba 24, 2025, imesema mvua hizo zitakazoambatana na upepo mkali unasababishwa na kimbunga kinachojulikana kama Tropical Storm Chenge ambacho kinatarajiwa kuathiri maeneo kadhaa […]

Continue Reading »

POSHO na Malipo Ajira Za Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025

Filed in Ajira by on 25.10.2025 3 Comments
POSHO na Malipo Ajira Za Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025

POSHO na Malipo Ajira Za Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Tanzania itafanya Uchaguzi wake Mkuu Oktoba 29, 2025 ambapo wapigakura 37, 655,559 wamejiandikisha kupiga Kura katika majimbo 272. Kutokana na Tukio hilo Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza Malipo ma Posho Kwa Wasimamizi, Wasimamizi Wasaidizi na Makarani Waongozaji Wapiga Kura. Malipo na Posho itakuwa kama […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Jumla Africa

Filed in Ajira by on 25.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Jumla Africa

NAFASI Za Kazi Jumla Africa ✅Position: Agri-Machinery Sales Officer – 4 Posts To promote, sell, and provide technical support for agricultural machinery and equipment, ensuring customer satisfaction and achieving sales targets.  Key Responsibilities Drive sales of agricultural machinery (tractors, planters, sprayers, harrow, etc.) within assigned territories. Promote agricultural machinery products to farmers, cooperatives, and agro-dealers. […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi PalmPay Tanzania

Filed in Ajira by on 24.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi PalmPay Tanzania

NAFASI Za Kazi PalmPay Tanzania PalmPay imeanzishwa kama kampuni inayoongoza ya fintech inafanya kazi katika nchi nyingi za Kiafrika, zikiwemo Nigeria, Ghana, Tanzania na Kenya. Dhamira ya kampuni hiyo ni kuleta mageuzi katika huduma za kifedha kwa kutoa masuluhisho yanayofikika, salama, na yanayofaa mtumiaji kwa msingi mpana wa wateja. Mfumo wa malipo wa kidijitali wa […]

Continue Reading »

HESLB Wanafunzi 135240 Waliopata Mikopo Awamu ya Kwanza 2025/2026

Filed in Elimu by on 24.10.2025 0 Comments
HESLB Wanafunzi 135240 Waliopata Mikopo Awamu ya Kwanza 2025/2026

HESLB Wanafunzi 135240 Waliopata Mikopo Awamu ya Kwanza 2025/2026 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Ijumaa, Oktoba 24,2025 imetoa awamu ya kwanza ya upangaji mikopo na ruzuku yenye jumla ya wanafunzi 135,240. Idadi hii inajumuisha wanafunzi wafuatato: Wanafunzi 40,952 wa shahada ya awali na wanafunzi 5,342 wa stashahada waliopangiwa mikopo […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbeya District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 24.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbeya District Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbeya District Council Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya Kanuni ya 12(2) ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025 Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mbeya Vijijini anawatangazia Vituo wafuatao kuwa wamechaguliwa kwa nafasi ya Wasimamizi wa Wasimamizi […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Kigoma

Filed in Elimu by on 24.10.2025 0 Comments
MATOKEO ya Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Kigoma

MATOKEO ya Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Kigoma Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) linatarajia Kutangaza Matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) Mwaka 2025 Kwa Mkoa wa Kigoma. Ili kuona Matokeo ya Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Kigoma pindi yanapotangaza tafadhali bonyeza link hapa chini. MATOKEO DARASA LA SABA 2025 […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 24 October 2025

Filed in Magazetini Leo by on 24.10.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 24 October 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 24 October 2025 Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), limetangaza kuwa Novemba 3, 2025, itachezeshwa droo ya upangaji wa makundi kwa msimu wa 2025-2026 katika michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho. Droo hiyo imepangwa kufanyika Johannesburg nchini Afrika Kusini ambapo ile ya Kombe la Shirikisho itaanza saa […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kilindi District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 24.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kilindi District Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kilindi District Council Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Kilindi anawajulisha Watendaji wote waliofaulu usaili kuhudhuria Semina/Mafunzo kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu kuanzia tarehe 25 Oktoba, 2025 hadi tarehe 27 Oktoba, 2025 katika Kumbi mbalimbali kama itakavyochanganuliwa hapa chini. DONWLOAD HAPA PDF YA MAKARANI DONWLOAD HAPA PDF YA WASIMAMIZI

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Sumbawanga Municipal Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 24.10.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Sumbawanga Municipal Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Sumbawanga Municipal Council Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Sumbawanga Mjini anawajulisha Watendaji wote waliofaulu usaili kuhudhuria Semina/Mafunzo kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu kuanzia tarehe 25 Oktoba, 2025 hadi tarehe 27 Oktoba, 2025 katika Kumbi mbalimbali kama itakavyochanganuliwa hapa chini. Watendaji hao watakaohudhuria mafunzo haya ni Wasimamizi wa […]

Continue Reading »