nijuze's Latest Posts

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Ushetu District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 24.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Ushetu District Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Ushetu District Council Kwa mujibu wa kanuni ya 10 (1) ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Ushetu anawatangazia waombaji wa nafasi za usimamizi wa vituo, usimamizi usaidizi, na ukarani uongozaji wa vituo vya kupigia kura waliofaulu usaili […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Momba District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 24.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Momba District Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Momba District Council Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Momba anapenda kuwatangazia wale wote waliochaguliwa baada ya usaili kuwa kutakuwa na mafunzo ya uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani katika Jimbo la Momba kuanzia tarehe 25.10.2025 hadi tarehe 27.10.2027 Mgawanyo wa vituo vya mafunzo utakuwa kama ifuatavyo Mafunzo kwa […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kinondoni Municipal Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 24.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kinondoni Municipal Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kinondoni Municipal Council Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na.1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na Kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Iramba District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 23.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Iramba District Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Iramba District Council Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Biharamulo District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 23.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Biharamulo District Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Biharamulo District Council Kwa barua hii, ninapenda kuwataarifu kuwa waombaji wa nafasi ya Msimamizi wa Kituo, Msimamizi Msaidizi na Karani Mwongozaji Wapiga kura, wameteuliwa kwa ajili ya kusimamia zoezi la Uchaguzi katika vituo vya kupigia kura Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Aidha, Makarani wote walioteuliwa watapata mafunzo tarehe 25/10/2025 […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Dodoma City Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 23.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Dodoma City Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Dodoma City Council Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Dodoma Mjini na Mtumba anapenda kuwataarifu kuwa, watendaji wote waliofaulu na kwenye usaili uliofanyika tarehe 11 Oktoba, 2025 kufika kwenye mafunzo kama ifuatavyo: – Mafunzo kwa Makarani Waongozaji wapiga kura yatafanyika tarehe 25 Oktoba, 2025 katika ukumbi wa Shule ya […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kibaha Town Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 23.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kibaha Town Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kibaha Town Council Msimamizi Wa Uchaguzi Jimbo la Kibaha Mjini anawatangazia Waombaji wa Kazi ya muda ya Usimamizi wa Uchaguzi Mkuu 2025 Walioteuliwa Baada ya Kuhudhuria Usaili. Mafunzo Kwa Makarani ni tarehe 25/10/2025. Mafunzo Kwa Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo ni tarehe 26-27/102025. Mafunzo hayo Yatafanyika Katika Ukumbi […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Liwale District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 23.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Liwale District Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Liwale District Council Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya Kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na Kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Magu District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 23.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Magu District Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Magu District Council Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Magu anawatangazia waombaji wote wa nafasi za Wasimamizi wa Vituo, Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya kupigia kura na Makarani waongozaji wapiga kura waliofaulu kwenye usaili uliofanyika tarehe 14.10.2025 kuhudhuria Semina kama ifuatavyo:- Semina kwa Makarani waongozaji wapiga kura itafanyika tarehe 25.10.2025 […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Bukoba Municipal Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 23.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Bukoba Municipal Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Bukoba Municipal Council Msimamaizi wa Uchaguzi Jimbo la Bukoba Mjini anawajulisha walioteuliwa kusimamia Vituo vya Kupigia Kura kwa mujibu wa Kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za mwaka 2025 kuhudhria Semina kuanzia tarehe 25-27 Oktoba, 2025. Mambo muhimu ya Kuzingatia; Kila aliyeteuliwa azingatie […]

Continue Reading »