nijuze's Latest Posts

NAFASI Za Kazi Bayer Tanzania

Filed in Ajira by on 25.03.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Bayer Tanzania

NAFASI Za Kazi Bayer Tanzania Nchini Tanzania Ofisi za Bayer ziko Arusha zikiwa na maghala mawili na ofisi, Kuna ofisi nyingine Mbeya mjini Kusini mwa Tanzania yenye ghala moja kubwa pia. Bayer inakaribisha maombi kutoka kwa watu wote, bila kujali rangi, asili ya kitaifa, jinsia, umri, sifa za kimwili, asili ya kijamii, ulemavu, uanachama wa […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 23-24/03/2026

Filed in Usaili by on 25.03.2026 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 23-24/03/2026

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 23-24/03/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. AFISA HABARI DARAJA LA II (INFORMATION OFFICER GRADE II) AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA III (AGRICULTURAL FIELD OFFICERS) AFISA MAZINGIRA DARAJA LA II (ENVIRONMENTAL […]

Continue Reading »

TANZIA William Vangimembe Lukuvi Afariki Dunia

Filed in Habari by on 25.03.2026 0 Comments
TANZIA William Vangimembe Lukuvi Afariki Dunia

TANZIA William Vangimembe Lukuvi Afariki Dunia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kwa kifo cha Mbunge wa Jimbo la Isimani na aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), William Vangimembe Lukuvi. Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Moses […]

Continue Reading »

VINARA Wa Clean Sheet NBC Premier League 2025/2026

Filed in Michezo by on 24.03.2026 0 Comments
VINARA Wa Clean Sheet NBC Premier League 2025/2026

VINARA Wa Clean Sheet NBC Premier League 2025/2026 Mlinda lango wa Klabu ya Yanga Djigui Diarra hadi Sasa ndiye kinara wa Clean Sheet Ligi Kuu ya NBC 2025/2026. Diarra amekusanya clean sheet 10 huku akifuatiwa na walinda lango Aishi Manula (Azam Fc) na Erick Johora (Mashujaa Fc) ambao wana clean sheet 6 kila mmoja. Orodha […]

Continue Reading »

VINARA wa Ufungaji NBC Premier League 2025/2026

Filed in Michezo by on 24.03.2026 0 Comments
VINARA wa Ufungaji NBC Premier League 2025/2026

VINARA wa Ufungaji NBC Premier League 2025/2026 Kupitia Makala hii utaweza kupata orodha ya Wachezaji wanaoongoza Kwa Ufungaji Ligi Kuu ya Tanzania Bara Msimu wa 2025/2026. Wafungaji Wanaoongoza NBC Premier League 2025/2026). Hii hapa Orodha Kamili ya Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC 2025/2026 hadi tarehe 07 December 2026. Fabrice Ngoy – Namungo FC = […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Raising The Village

Filed in Ajira by on 24.03.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Raising The Village

NAFASI Za Kazi Raising The Village Raising The Village (RTV) ni shirika la Kanada lililojitolea kukomesha umaskini uliokithiri katika jamii za watu walio katika hali ngumu, hasa katika maeneo ya vijijini. Shirika hilo linalenga maendeleo endelevu kwa kuinua kaya kutoka chini ya $1 kwa siku hadi zaidi ya $2 kwa siku kupitia mipango ya kilimo, […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

Filed in Ajira by on 24.03.2026 1 Comment
NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania Diamond Trust Bank Tanzania Plc (DTBT) ni benki ya biashara nchini Tanzania iliyoanzishwa mwaka 1945, kama Diamond Jubilee Investment Trust (DJIT) yenye ofisi yake kuu Dar es Salaam (Tanzania) na matawi Mombasa ( Kenya) na Kampala (Uganda). Mnamo 1965, DJIT iligawanywa katika kampuni tatu – DJIT Tanzania, DJIT Kenya […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Ubuntu Impact Limited

Filed in Ajira by on 24.03.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Ubuntu Impact Limited

NAFASI Za Kazi Ubuntu Impact Limited Ubuntu Impact Limited ni Kampuni ya Ushauri ya HR iliyojitolea Kutoa Masuluhisho ya Kuaminika ambayo yanaleta Mabadiliko chanya na kukuza Ukuaji Mkubwa wa Rasilimali Watu/utawala. Kampuni hiyo inatafuta watu wenye nia, ari pamoja na sifa tajwa kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa hapa chini. KUTUMA MAOMBI BOFYA HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Taifa Gas Limited

Filed in Ajira by on 24.03.2026 5 Comments
NAFASI Za Kazi Taifa Gas Limited

NAFASI Za Kazi Taifa Gas LimitedNAFASI Za Kazi Taifa Gas Limited Taifa Gas Tanzania Limited ni kampuni kubwa ya Liquefied Petroleum Gas (LPG) nchini Tanzania, inayojulikana kwa kituo chake kikubwa cha kuhifadhi na kujaza jijini Dar es Salaam.. Hapo awali ilijulikana kama Mihan Gas Company Limited, ilianzishwa mwaka 2005 na baadae ikabadilishwa na kuwa Taifa […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Geita Municipal Council

Filed in Ajira by on 24.03.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Geita Municipal Council

NAFASI Za Kazi Geita Municipal Council Mkurugenzi wa Manispaa wa Halmashauri ya Manispaa ya Geita anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 15 kama ilivyoainishwa hapa chini kwenye PDF. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »