nijuze's Latest Posts

MCHANGANUO wa Tarehe ya Usaili wa Vitendo Kada ya Dereva Daraja La II Majina ya Nyongeza

Filed in Usaili by on 03.10.2025 0 Comments
MCHANGANUO wa Tarehe ya Usaili wa Vitendo Kada ya Dereva Daraja La II Majina ya Nyongeza

MCHANGANUO wa Tarehe ya Usaili wa Vitendo Kada ya Dereva Daraja La II Majina ya Nyongeza Wasailiwa ambao majina yao yameorodheshwa kwenye kiambatisho hapo chini wanatakiwa kuzingatia mchanganuo wa tarehe ya usaili wa vitendo kama ilivyoainishwa. MCHANGANUO WA TAREHE YA USAILI DEREVA II MAJINA YA NYONGEZA

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 02/10/2025

Filed in Usaili by on 03.10.2025 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 02/10/2025

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 02/10/2025 Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Kuandika Uliofanyika tarehe 02/10/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia ratiba, muda na eneo la usaili. Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. ASSISTANT RADIATION SAFETY INSPECTOR II FINANCE MANAGEMENT OFFICER II INFORMATION COMMUNICATION TECHNOLOGY OFFICER II (PROGRAMMER) […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mwanga District Council

Filed in Usaili by on 03.10.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mwanga District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mwanga District Council Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 04 October 2025

Filed in Magazetini Leo by on 03.10.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 04 October 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 04 October 2025 Mamlaka ya Wanyamapori Tanzania (TAWA) kupitia Pori la Akiba la Kijereshi, imefanikiwa kuwaua fisi 17 katika Kata ya Shigala, Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu, kufuatia operesheni maalumu inayoendelea ya kuwasaka wanyama hao waharibifu. Operesheni hiyo imechochewa na matukio ya mara kwa mara ya fisi kuvamia makazi ya wananchi […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 01/10/2025

Filed in Usaili by on 03.10.2025 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 01/10/2025

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 01/10/2025 Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI uliofanyika tarehe 01/10/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia ratiba, muda na eneo la usaili. Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. INFORMATION COMMUNICATION TECHNOLOGY OFFICER II (SYSTEM ADMINISTRATOR) – OTR INFORMATION COMMUNICATION TECHNOLOGY OFFICER II […]

Continue Reading »

MFAHAMU Dimitar Pantev Kocha Mpya wa Simba SC

Filed in Ajira by on 02.10.2025 0 Comments
MFAHAMU Dimitar Pantev Kocha Mpya wa Simba SC

MFAHAMU Dimitar Pantev Kocha Mpya wa Simba SC Kocha wa Mkuu wa Gaborone United, raia wa Bulgaria, Dimitar Pantev mwenye Umri wa miaka 49 amejiunga na Klabu ya Soka ya Simba kama Kocha Mkuu akichukua nafasi ya Fadlu David aliyeachana na Klabu hio mapema mwezi huu. Kocha huyo anatarajiwa kuingia nchini Tanzania muda wote kuanzia […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Mlimba Institute of Health and Allied Sciences

Filed in Ajira by on 02.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Mlimba Institute of Health and Allied Sciences

NAFASI Za Kazi Mlimba Institute of Health and Allied Sciences Chuo cha afya Mlimba (MIHAS) kinawatangazia watanzania wote Nafasi za kazi kama ifuatavyo hapa chini. Bachelor degree in Physiotherapy 2 position 2. Ordinaly diploma in Physiotherapy 1 position. Medical doctor 1 position. Pharmaceutical technician 1 position. Bachelor degree in Social works 1 position. BONYEZA HAPA […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Itigi District Council

Filed in Usaili by on 02.10.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Itigi District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Itigi District Council Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi HIHEA Tanzania

Filed in Ajira by on 02.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi HIHEA Tanzania

NAFASI Za Kazi HIHEA Tanzania Hand Eastern Africa-Tanzania (HIHEA TZ) ni Asasi Isiyo ya Kiserikali (NGO) iliyosajiliwa nchini Tanzania tangu 2018 kwa mamlaka ya kufanya kazi nchini. Maono ya HIHEA ni kuwezesha jamii, haswa wanawake, kupitia uundaji wa biashara na ajira endelevu. HIHEA (TZ) kwa sasa inaongoza shughuli zake kupitia matawi yaliyopo Moshi, Arusha, Manyara, […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Wasimamizi, Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya Kupigia Kura na Makarani Waongozaji Wapiga Kura 2025 Bukoba Municipal Council

Filed in Usaili by on 02.10.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Wasimamizi, Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya Kupigia Kura na Makarani Waongozaji Wapiga Kura 2025 Bukoba Municipal Council

KUITWA Kwenye Usaili Wasimamizi, Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya Kupigia Kura na Makarani Waongozaji Wapiga Kura 2025 Bukoba Municipal Council Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya […]

Continue Reading »