nijuze's Latest Posts

KUITWA Kwenye Usaili Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo Vya Kupigia Kura 2025 Rombo District Council

Filed in Usaili by on 02.10.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo Vya Kupigia Kura 2025 Rombo District Council

KUITWA Kwenye Usaili Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo Vya Kupigia Kura 2025 Rombo District Council Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 02 October 2025

Filed in Magazetini Leo by on 02.10.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Alhamisi 02 October 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 02 October 2025 Mahakama ya kijeshi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imemuhukumu adhabu ya kifo aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Joseph Kabila, bila ya yeye kuwepo Mahakamani. Hukumu hiyo imetolewa Jumanne na Mahakama ya Kijeshi ya DRC kutokana na mashitaka yaliyofunguliwa dhidi ya Kabila kwenye mahakama hiyo Julai 25, […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Kisarawe District Council

Filed in Ajira by on 01.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Kisarawe District Council

NAFASI Za Kazi Kisarawe District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Kisarawe anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:- ✅MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II (OFFICE MANAGEMENT SECRETARY) – NAFASI 03 […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 01/10/2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 01.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 01/10/2025

KUITWA Kazini UTUMISHI 01/10/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 29-01-2025 na tarehe 13-08-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 30/09/2025

Filed in Usaili by on 01.10.2025 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 30/09/2025

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 30/09/2025 Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI uliofanyika tarehe 30/09/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia ratiba, muda na eneo la usaili. Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. ARTISAN II (ELECTRICAL) ARTISAN II (PLUMBING) FIRE FIGHTER II ICT OFFICER GRADE II (HELPDESK) […]

Continue Reading »

BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli October 2025

Filed in Habari by on 01.10.2025 0 Comments
BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli October 2025

BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli October 2025 TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA PETROLI KUANZIA JUMATANO, TAREHE 1 OKTOBA 2025 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kwa Tanzania Bara zitakazotumika kuanzia Jumatano ya tarehe 1 Oktoba […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini MUST 30/09/2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 01.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini MUST 30/09/2025

KUITWA Kazini MUST 30/09/2025 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya anapenda kutoa taarifa waombaji wa nafasi mbalimbali za kazi waliohudhuria usaili kati ya tarehe 12 Septemba 2025 kwamba matokeo ya watahiniwa waliofaulu yameorodheshwa katika tangazo hili. Wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili wanapaswa kuelewa kwamba hawakuchaguliwa na wanahimizwa kutuma […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika  UTUMISHI 29/09/2025

Filed in Usaili by on 01.10.2025 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Kuandika  UTUMISHI 29/09/2025

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika  UTUMISHI 29/09/2025 Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Kuandika uliofanyika tarehe 29/09/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia ratiba, muda na eneo la usaili. Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. AFISA ARDHI MSAIDIZI II (ASSISTANT LAND OFFICER II) AFISA MIPANGOMIJI II (TOWN PLANNER II) AFISA […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatano 01 October 2025

Filed in Magazetini Leo by on 01.10.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatano 01 October 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatano 01 October 2025 Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam, iliyoketi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Sophia Mwenda (64) na mwanaye wa kiume Alphonce Magombola (39) kunyongwa hadi kufa, baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mwanafamilia huyo. Sophia na mwanaye wanadaiwa kumuua Beatrice Magombola, ambaye ni binti yake […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi TAYOA Tanzania

Filed in Ajira by on 30.09.2025 1 Comment
NAFASI Za Kazi TAYOA Tanzania

NAFASI Za Kazi TAYOA Tanzania Tanzania Youth Alliance (TAYOA) ni shirika lililosajiliwa linalojitolea kutoa elimu ya kiraia/haki za binadamu, ujasiriamali na VVU/UKIMWI kwa vijana nchini Tanzania. Shirika hilo lilisajiliwa Novemba 1997 chini ya Sheria ya Wadhamini (CAP 373) na Sheria Na. 24 ya 2002 yenye nambari ya usajili 1497. TAYOA inafanya kazi na bodi mbili: […]

Continue Reading »