Ajira

NAFASI 1150 Za Kazi MOWASALAT

Filed in Ajira by on 01.02.2026 0 Comments
NAFASI 1150 Za Kazi MOWASALAT

NAFASI 1150 Za Kazi MOWASALAT Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano kwa kushirikiana na Kampuni ya Almaha Travel and Tours Company Limited, inawatangazia Watanzania wenye umri kati ya miaka 25 hadi 50 kuwasilisha maombi ya ajira kwa ajili ya kujaza nafasi 1,150 za madereva, zilizotolewa na Kampuni ya MOWASALAT ya nchini Qatar. […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Alistair Group

Filed in Ajira by on 01.02.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Alistair Group

NAFASI Za Kazi Alistair Group Alistair Group ni mojawapo ya Makampuni ya huduma yanayokuwa kwa kasi zaidi Afrika Mashariki na Kusini, ikitoa masuluhisho mbalimbali ya vifaa yaliyojiletea yenyewe katika jiografia kadhaa, yenye lengo la maono ya Kufanya Afrika Ifanye Kazi Bora! Kwa umahiri wa kimsingi katika usafirishaji wa mizigo barabarani, kuhifadhi, biashara ya bidhaa na […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Simba SC Tanzania

Filed in Ajira by on 31.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Simba SC Tanzania

NAFASI Za Kazi Simba SC Tanzania Simba SC ni klabu ya mpira wa miguu iliyoko katika kata ya Kariakoo katika Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam nchini Tanzania . Klabu hiyo iliyoanzishwa mwaka 1936 inatangaza nafasi Za Kazi Kwa Watu wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kama zilivyoainishwa hapa chini kwenye PDF. DONWLOAD […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Mogo Credit Tanzania

Filed in Ajira by on 26.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Mogo Credit Tanzania

NAFASI Za Kazi Mogo Credit Tanzania MOGO Credit Tanzania ni sehemu ya Eleving Group, ambayo ni kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya fedha inayokua kwa kasi, inayofanya kazi katika nchi 15 katika mabara 3. MOGO Credit Tanzania inatoa ufadhili wa magari, pikipiki, na tuk-tuk, ufadhili wa simu janja pamoja na mikopo ya daftari na mengineyo. […]

Continue Reading »

NAFASI 1000 Za Kazi Nad Insurance Agency

Filed in Ajira by on 26.01.2026 0 Comments
NAFASI 1000 Za Kazi Nad Insurance Agency

NAFASI 1000 Za Kazi Nad Insurance Agency Nad Insurance Agency, ikishirikiana na CRDB inatangaza nafasi 1,000 za kazi kwa vijana wote wa Kitanzania. VIGEZO Elimu kuanzia Kidato cha Nne. Kitambulisho cha NIDA/Mpiga Kura. Uwe na Simu Janja. Uwe Muaminifu. Uwe Mchapakazi MAJUKUMU Kutengeneza LIPA HAPA ZA CRDB kwa wafanyabiashara Kutengeneza AKAUNTI MPYA za wateja wapya […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Nachingwea District District

Filed in Ajira by on 25.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Nachingwea District District

NAFASI Za Kazi Nachingwea District District Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi kumi na tano (15) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa. DONWLOAD PDF YA TANGAZO […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Wizara ya Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Zanzibar

Filed in Ajira by on 25.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Wizara ya Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Zanzibar

NAFASI Za Kazi Wizara ya Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Zanzibar Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi ya kazi kwa Wizara ya Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo kama ifuatavyo kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF YA TANGAZO HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar

Filed in Ajira by on 25.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar

NAFASI Za Kazi Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi kama ifuatavyo kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF YA TANGAZO HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Kenya High Commission Dar es Salaam

Filed in Ajira by on 25.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Kenya High Commission Dar es Salaam

NAFASI Za Kazi Kenya High Commission Dar es Salaam Position: Consular Assistant The High Commission of the Republic of Kenya in the United Republic of Tanzania is seeking to employ a qualified person for the position of Consular Assistant. The position is for a duration of one (1) year renewable based on performance. Skills and […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Exodus Tanzania

Filed in Ajira by on 25.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Exodus Tanzania

NAFASI Za Kazi Exodus Technologies Limited  ✅Position: IT Sales Officer Location: Dar es Salaam Job Type: Full-time Salary: Base Salary + Commission Exodus Technologies Limited We are looking for a motivated IT Sales Officer to market and sell ICT products and solutions. The successful candidate will be responsible for generating leads, closing sales, and maintaining strong client relationships. […]

Continue Reading »