Ajira

KUITWA Kazini UTUMISHI 12/01/2026

Filed in Ajira by on 12.01.2026 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 12/01/2026

KUITWA Kazini UTUMISHI 12/01/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 14-01-2025 na tarehe 22-12-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Green Bird College

Filed in Ajira by on 12.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Green Bird College

NAFASI Za Kazi Green Bird College Green bird college seeking tutors to volunteer: and if later are okay can be hired, allowance will be paid Position: Volunteer Tutors 1.Computer Tutor Qualifications: computer science degree 2.Pharmacy tutors Qualifications: degree in pharmacy 3.Clinical Medicine Tutor Qualifications: Degree in Medicine 4.Mathematics and science for education college Qualifications: Degree […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 11/01/2026

Filed in Ajira by on 12.01.2026 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 11/01/2026

KUITWA Kazini UTUMISHI 11/01/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 14-01-2025 na tarehe 22-12-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »

NAFASI 142 Za Kazi Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)

Filed in Ajira by on 11.01.2026 0 Comments
NAFASI 142 Za Kazi Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)

NAFASI 142 Za Kazi Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 142 kama ilivyoainishwa hapa chini kwenye PDF. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI 208 Za Kazi TAWA, CAMARTEC, TIRA, NBS, TASAC, TAFORI, CAWM, NIC, TCAA na CBE

Filed in Ajira by on 11.01.2026 0 Comments
NAFASI 208 Za Kazi TAWA, CAMARTEC, TIRA, NBS, TASAC, TAFORI, CAWM, NIC, TCAA na CBE

NAFASI 208 Za Kazi TAWA, CAMARTEC, TIRA, NBS, TASAC, TAFORI, CAWM, NIC, TCAA na CBE Kwa niaba ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Wakala wa Meli Tanzania Shirika (TASAC), Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Udhibiti wa Bima Tanzania Mamlaka (TIRA), Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI), Kituo cha Kilimo Mitambo na […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Namtumbo District Council

Filed in Ajira by on 10.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Namtumbo District Council

NAFASI Za Kazi Namtumbo District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo anatangaza Watanzania wenye sifa kuomba nafasi nne (04) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam cha Elimu (DUCE)

Filed in Ajira by on 08.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam cha Elimu (DUCE)

NAFASI Za Kazi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam cha Elimu (DUCE) Chuo Kikuu cha Dar es Salaam cha Elimu (DUCE) ni Chuo Maalumu cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kilichoanzishwa mwaka 2005. Kazi kuu za Chuo, kama zilizoainishwa katika Mkataba na Kanuni za 2010, ni kutoa mafundisho jumuishi, utafiti na utumishi wa umma. […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Kilindi District Council

Filed in Ajira by on 08.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Kilindi District Council

NAFASI Za Kazi Kilindi District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Kilindi anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi sita (06) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DOWNLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Mbeya District Council

Filed in Ajira by on 08.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Mbeya District Council

NAFASI Za Kazi Mbeya District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya anapenda kuwatangazia Watanzania Wote kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya imekusudia kuajiri Watumishi wa Mkataba wa kazi ya Muda ya Afisa Muuguzi Msaidizi /Tabibu Daraja la Il aliyesomea mafunzo ya Mwaka mmoja (1) ya (Anaesthesia) ambao watafanya kazi katika Halmashauri ya […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Kigoma District Council

Filed in Ajira by on 05.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Kigoma District Council

NAFASI Za Kazi Kigoma District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi sita (6) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »