Ajira

NAFASI Za Kazi Urambo District Council

Filed in Ajira by on 20.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Urambo District Council

NAFASI Za Kazi Urambo District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Urambo anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi kazi sita (6) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali Kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Uvinza District Council

Filed in Ajira by on 20.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Uvinza District Council

NAFASI Za Kazi Uvinza District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Wilaya ya Uvinza anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi saba (07) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

Filed in Ajira by on 19.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

NAFASI Za Kazi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa mamlaka aliyonayo kwa mujibu wa Kifungu cha 14(4) cha Sheria ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Sura ya 427, kikisomwa pamoja na Kanuni ya 5(1) ya Kanuni za Utumishi za Jeshi la Zimamoto na Uokoaji za mwaka 2008; […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Mbulu Town Council

Filed in Ajira by on 19.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Mbulu Town Council

NAFASI Za Kazi Mbulu Town Council Mkurugenzi wa Mji wa Mbulu anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi kazi kumi (10) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali Kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama

Filed in Ajira by on 17.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama

NAFASI Za Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Aidha, Ibara ya 113 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Sheria ya Usimamizi wa Mahakama Sura 237 vinaipa Tume […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Siha District Council

Filed in Ajira by on 17.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Siha District Council

NAFASI Za Kazi Siha District Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi Nne (04) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DOWNLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Rombo District Council

Filed in Ajira by on 17.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Rombo District Council

NAFASI Za Kazi Rombo District Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi mbili (02) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DOWNLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Moshi Municipal Council

Filed in Ajira by on 17.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Moshi Municipal Council

NAFASI Za Kazi Moshi Municipal Council Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tano (5) katika Manispaa hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Singida District Council

Filed in Ajira by on 17.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Singida District Council

NAFASI Za Kazi Singida District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi kumi na tano (15) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Korogwe Town Council

Filed in Ajira by on 17.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Korogwe Town Council

NAFASI Za Kazi Korogwe Town Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (M) Korogwe anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi saba (7) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »