Ajira

NAFASI Za Kazi FAO Tanzania

Filed in Ajira by on 21.11.2025 2 Comments
NAFASI Za Kazi FAO Tanzania

NAFASI Za Kazi FAO Tanzania Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) lililoanzishwa tarehe 16 Oktoba 1945 ni wakala maalumu wa Umoja wa Mataifa unaoongoza juhudi za kimataifa za kushinda njaa na kuboresha lishe na usalama wa chakula. Makao Makuu ya FAO ambayo husaidia Serikali na Mashirika ya Maendeleo kuratibu shughuli zao […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi MSI Tanzania

Filed in Ajira by on 21.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi MSI Tanzania

NAFASI Za Kazi MSI Tanzania MSI Tanzania (iliyojulikana kama Marie Stopes Tanzania) ni shirika lisilo la kiserikali la kimataifa la MSI Reproductive Choices. MSI Tanzania ni mtoa huduma mashuhuri zaidi nchini Tanzania wa huduma za afya ya uzazi na uzazi wa mpango. Dhamira yake ni Kuboresha upatikanaji wa huduma za uzazi wa mpango, huduma za […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Save the Children Tanzania

Filed in Ajira by on 21.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Save the Children Tanzania

NAFASI Za Kazi Save the Children Tanzania Save the Children Tanzania ni shirika linalojishughulisha na masuala ya afya na lishe ya mtoto, elimu, ulinzi wa mtoto na misaada ya kibinadamu nchini Tanzania, limekuwa likifanya kazi nchini Tanzania tangu mwaka 1986 . Save the Children Tanzania inalenga katika kuboresha afya ya mama na mtoto, lishe, na […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi CARE Tanzania

Filed in Ajira by on 20.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi CARE Tanzania

NAFASI Za Kazi CARE Tanzania CARE Tanzania ni tawi la CARE International ambalo ni shirika la kimataifa lililojikita katika kupambana na umaskini na usawa wa kijamii, hasa kwa wanawake na wasichana. CARE Tanzania ilianzishwa mwaka 1994 ili kukabiliana na mauaji ya kimbari ya Rwanda na wimbi la wakimbizi katika mkoa wa Kagera. CARE Tanzania Sasa […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Mtwara District Council

Filed in Ajira by on 20.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Mtwara District Council

NAFASI Za Kazi Mtwara District Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi kumi na nne (14) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Nanyumbu District Council

Filed in Ajira by on 20.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Nanyumbu District Council

NAFASI Za Kazi Nanyumbu District Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi kumi na mbili (12) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Serengeti District Council

Filed in Ajira by on 20.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Serengeti District Council

NAFASI Za Kazi Serengeti District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tisa (09) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DOWNLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Ikungi District Council

Filed in Ajira by on 20.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Ikungi District Council

NAFASI Za Kazi Ikungi District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Ikungi anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi nane (8) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Kilosa District Council

Filed in Ajira by on 20.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Kilosa District Council

NAFASI Za Kazi Kilosa District Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi nne (4) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DOWNLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Morogoro District Council

Filed in Ajira by on 20.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Morogoro District Council

NAFASI Za Kazi Morogoro District Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi saba (7) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »