Ajira

NAFASI Za Kazi Stefano Moshi Memorial University College

Filed in Ajira by on 20.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Stefano Moshi Memorial University College

NAFASI Za Kazi Stefano Moshi Memorial University College Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMMUCo) ni Chuo Maalumu cha Tumaini University Makumira (TUMA). Chuo Kikuu hicho kina makao yake makuu katika Kijiji cha Masoka, kilomita 14 kaskazini mwa Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro. SMMUCo inakusudia kurejesha udahili wa wanafunzi katika mwaka ujao wa masomo […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Sokabet Tanzania

Filed in Ajira by on 20.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Sokabet Tanzania

NAFASI Za Kazi Sokabet Tanzania Sokabet ni jukwaa bora zaidi la kasino mtandaoni na kamari ya michezo nchini Tanzania. Pata uwezekano bora wa kamari wa kandanda na michezo bora ya kasino mtandaoni kwenye tovuti na programu. Kampuni hiyo ya Kubashiri nchini Tanzania inatafuta watu wenye, nia ari Pamoja na Sifa tajwa hapa chini kujaza nafasi […]

Continue Reading »

NAFASI 50 Za Kazi Tunduma Town Council

Filed in Ajira by on 20.10.2025 0 Comments
NAFASI 50 Za Kazi Tunduma Town Council

NAFASI 50 Za Kazi Tunduma Town Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma anawatangazia wananchi wote wenye sifa zilizoainishwa kwenye tangazo hili kuomba nafasi za kazi ya mkataba wa miezi mitatu (03) ya ukusanyaji wa mapato ya ndani ya Halmashauri ya Mji Tunduma, WAKUSANYA USHURU (MAKARANI) – NAFASI 50 KAZI NA MAJUKUMU. Kukusanya Mapato ya […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Kagera Sugar Limited

Filed in Ajira by on 20.10.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Kagera Sugar Limited

NAFASI Za Kazi Kagera Sugar Limited Kagera Sugar Limited (KSL), ni mtengenezaji wa sukari nchini Tanzania, hadi mwaka 2019 Kagera Sugar ilikuwa ya tatu kwa uzalishaji wa sukari nchini, ikiwa na asilimia 17 ya soko. Baada ya kubinafsishwa mwaka 2001, kufuatia uwekezaji katika mashamba ya Kiwanda na Miwa, Kagera Sugar Limited imekuwa kampuni inayoongoza kwa […]

Continue Reading »

AJIRA 10026 Mpya Za Walimu 2025

Filed in Ajira by on 19.10.2025 0 Comments
AJIRA 10026 Mpya Za Walimu 2025

AJIRA 10026 Mpya Za Walimu 2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs ametangaza nafasi Mpya 10,026 Za Walimu. Katibu huyo amewaalika Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi hizo 10,026 kama zilivyoainishwa katika tangazo hili hapa chini kwenye PDF. Nafasi 10,026 Mpya Za Walimu Kutoka […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Pangani District Council

Filed in Ajira by on 19.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Pangani District Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Pangani District Council Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia Masharti ya Kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na Kanuni ya 10 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za […]

Continue Reading »

NAFASI 381 Za Walimu Daraja la III C  Somo la Biashara

Filed in Ajira by on 19.10.2025 0 Comments
NAFASI 381 Za Walimu Daraja la III C  Somo la Biashara

NAFASI 381 Za Walimu Daraja la III C  Somo la Biashara ✅MWALIMU DARAJA LA III C – SOMO LA BIASHARA (BUSINESS STUDIES) – Nafasi 381 MAJUKUMU YAKAZI Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa. Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia. Kufundisha, kufanya […]

Continue Reading »

NAFASI 270 Za Walimu Daraja la III C Historia ya Tanzania na Maadili

Filed in Ajira by on 19.10.2025 0 Comments
NAFASI 270 Za Walimu Daraja la III C Historia ya Tanzania na Maadili

NAFASI 270 Za Walimu Daraja la III C Historia ya Tanzania na Maadili ✅MWALIMU DARAJA LA III C (HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI ) – Nafasi 270 MAJUKUMU YA KAZI Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa. Kutengeneza na Kufaragua zana za kufundishia na […]

Continue Reading »

NAFASI 219 Za Msaidizi wa Afya ya Mazingira Daraja la II

Filed in Ajira by on 19.10.2025 0 Comments
NAFASI 219 Za Msaidizi wa Afya ya Mazingira Daraja la II

NAFASI 219 Za Msaidizi wa Afya ya Mazingira Daraja la II ✅MSAIDIZI WA FYA YA MAZINGIRA DARAJA LA II (ENVIROMENTAL HEALTH ASSISTANT II) – Nafasi 219 MAJUKUMU YAKAZI Kudhibiti na kuzuia milipuko ya magonjwa. Kupambana na kuzuia wadudu na wanyama wanaoeneza magonjwa. Kusimamia uzikaji wa maiti zisizotambuliwa na zile zinazotokana na magonjwa ya kuambukiza. Kuandaa […]

Continue Reading »

NAFASI 235 Za Walimu Daraja la III C Somo la Kiingereza

Filed in Ajira by on 19.10.2025 0 Comments
NAFASI 235 Za Walimu Daraja la III C Somo la Kiingereza

NAFASI 235 Za Walimu Daraja la III C Somo la Kiingereza ✅MWALIMU DARAJALAIII C – KIINGEREZA (ENGLISH) – Nafasi 235 MAJUKUMU YAKAZI Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa. Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia. Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za […]

Continue Reading »