Kuitwa Kazini

KUITWA Kazini Rombo District Council 12/11/2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 12.11.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Rombo District Council 12/11/2025

KUITWA Kazini Rombo District Council 12/11/2025 Kutokana na Usaili Ulioanyika tarehe 26/03/2025 Kwa Kazi ya Ukusanyaji wa Mapato Katika Halmashauri ya Wilaya ya Rombo, Mkurugenzi Mtendaji anawataarifu Washindi wa Kundi la Kwanza Kuripoti Kazini tarehe 14/11/2025 Aidha, Wahusika Wote Wafike na Vyeti Vyao Halisi, Kitambulisho Cha Taifa na Passport. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

MATOKEO ya Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Manyara

Filed in Kuitwa Kazini by on 05.11.2025 0 Comments
MATOKEO ya Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Manyara

MATOKEO ya Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Manyara Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) Mwaka 2025 Kwa Mkoa wa Manyara. Ili kuona Matokeo ya Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Manyara tafadhali bonyeza link hapa chini. MATOKEO DARASA LA SABA 2025 MANYARA

Continue Reading »

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbeya District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 24.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbeya District Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbeya District Council Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya Kanuni ya 12(2) ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025 Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mbeya Vijijini anawatangazia Vituo wafuatao kuwa wamechaguliwa kwa nafasi ya Wasimamizi wa Wasimamizi […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kilindi District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 24.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kilindi District Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kilindi District Council Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Kilindi anawajulisha Watendaji wote waliofaulu usaili kuhudhuria Semina/Mafunzo kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu kuanzia tarehe 25 Oktoba, 2025 hadi tarehe 27 Oktoba, 2025 katika Kumbi mbalimbali kama itakavyochanganuliwa hapa chini. DONWLOAD HAPA PDF YA MAKARANI DONWLOAD HAPA PDF YA WASIMAMIZI

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Sumbawanga Municipal Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 24.10.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Sumbawanga Municipal Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Sumbawanga Municipal Council Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Sumbawanga Mjini anawajulisha Watendaji wote waliofaulu usaili kuhudhuria Semina/Mafunzo kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu kuanzia tarehe 25 Oktoba, 2025 hadi tarehe 27 Oktoba, 2025 katika Kumbi mbalimbali kama itakavyochanganuliwa hapa chini. Watendaji hao watakaohudhuria mafunzo haya ni Wasimamizi wa […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Ushetu District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 24.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Ushetu District Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Ushetu District Council Kwa mujibu wa kanuni ya 10 (1) ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Ushetu anawatangazia waombaji wa nafasi za usimamizi wa vituo, usimamizi usaidizi, na ukarani uongozaji wa vituo vya kupigia kura waliofaulu usaili […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Momba District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 24.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Momba District Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Momba District Council Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Momba anapenda kuwatangazia wale wote waliochaguliwa baada ya usaili kuwa kutakuwa na mafunzo ya uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani katika Jimbo la Momba kuanzia tarehe 25.10.2025 hadi tarehe 27.10.2027 Mgawanyo wa vituo vya mafunzo utakuwa kama ifuatavyo Mafunzo kwa […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kinondoni Municipal Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 24.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kinondoni Municipal Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kinondoni Municipal Council Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na.1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na Kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Iramba District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 23.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Iramba District Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Iramba District Council Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Biharamulo District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 23.10.2025 0 Comments
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Biharamulo District Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Biharamulo District Council Kwa barua hii, ninapenda kuwataarifu kuwa waombaji wa nafasi ya Msimamizi wa Kituo, Msimamizi Msaidizi na Karani Mwongozaji Wapiga kura, wameteuliwa kwa ajili ya kusimamia zoezi la Uchaguzi katika vituo vya kupigia kura Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Aidha, Makarani wote walioteuliwa watapata mafunzo tarehe 25/10/2025 […]

Continue Reading »