Magazetini Leo

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 22 November 2025

Filed in Magazetini Leo by on 22.11.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumamosi 22 November 2025

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 22 November 2025 Tanzania imeporomoka kwa nafasi tano kwenye viwango vya ubora vya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) katika chati ya viwango ya mwezi Novemba. Kichapo cha mabao 4-3 ambacho timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ imekipata katika mechi ya kimataifa ya kirafiki, Novemba 15, 2025 kinaonekana kuchangia kwa kiasi […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 21 November 2025

Filed in Magazetini Leo by on 21.11.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 21 November 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 21 November 2025 Mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize ameshinda tuzo ya Mfungaji wa bao bora la mwaka 2025 ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Mzize ametangazwa Mshindi wa kipengele hicho katika hafla ya utoaji tuzo hizo iliyofanyika Rabat, Morocco Jumatano ya Novemba 19, 2025. Bao hilo ni lile alilofunga […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatano 19 November 2025

Filed in Magazetini Leo by on 19.11.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatano 19 November 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatano 19 November 2025

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumanne 18 November 2025

Filed in Magazetini Leo by on 18.11.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumanne 18 November 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne 18 November 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametangaza Baraza jipya la Mawaziri, ambako takribani mawaziri saba waliohudumu katika baraza lililopita wakiwekwa pembeni. Walioachwa na wizara zao walizoziongoza kwenye baraza lililopita ni aliyekuwa Naibu Waziri Mkuu na aliyekuwa Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, Hussein Bashe […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 14 November 2025

Filed in Magazetini Leo by on 14.11.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 14 November 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 14 November 2025 Waziri Mkuu mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba amesema Kuwa Serikali yake itasimamia utekelezaji wa mpango mkakati wa ajira milioni nane kwa vijana, kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za umma na binafsi. Akizungumza Alhamisi ya Novemba 13, 2025, bungeni jijini Dodoma wakati akitoa maneno […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatano 12 November 2025

Filed in Magazetini Leo by on 12.11.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatano 12 November 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatano 12 November 2025 Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam imepanga kutoa uamuzi wa uhalali wa hati ya kesi ya uhaini inayomkabili mfanyabiashara Jenifer Jovin (26), maarufu Niffer na wenzake 21, Novemba 25, 2025. Mahakama hiyo imepanga tarehe hiyo kutoa uamuzi huo, Jumanne, Novemba 11, 2025, baada ya kukamilisha usikilizwaji wa […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumanne 11 November 2025

Filed in Magazetini Leo by on 11.11.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumanne 11 November 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne 11 November 2025 Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wabunge sita kwa mamlaka aliyonayo chini ya Ibara ya 66(1)(e) ya Katiba ya Tanzania inayompa mamlaka ya kuteua wabunge 10. Taarifa ya uteuzi wa wabunge hao imetolewa, Jumatatu Novemba 10, 2025 na kutiwa saini na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 10 November 2025

Filed in Magazetini Leo by on 10.11.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatatu 10 November 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 10 November 2025 Wanafunzi wa kidato cha pili takribani 898, 755 wanatarajia kufanya mtihani wa upimaji wa kitaifa (FTNA) Leo Novemba 10, 2025, hadi Novemba 20,2025 katika shule za sekondari 6,238 Tanzania Bara. Kati ya wanafunzi hao waliosajiliwa kufanya mtihani huo 889,266 ni wanafunzi wa shule ambapo wavulana ni 396,383 sawa […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumapili 09 November 2025

Filed in Magazetini Leo by on 09.11.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumapili 09 November 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili 09 November 2025 Jeshi la Polisi nchini limetoa taarifa kufuatia matukio ya vurugu, uporaji mali na uvunjifu wa amani yaliyotokea Oktoba 29, 2025 nchini na kubainisha kuwa baadhi ya watu wanaodaiwa kuhusika na matukio hayo tayari wamekamatwa na kufikishwa mahakamani, huku msako mkali ukiendelea kuwabaini wengine waliopanga, kuratibu na kutekeleza vitendo […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 08 November 2025

Filed in Magazetini Leo by on 08.11.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumamosi 08 November 2025

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 08 November 2025 Watu 95 wamepandishwa kizimbani jioni ya leo tarehe 7 November 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka mawili ikiwemo uhaini. Washtakiwa hao wanafanya jumla ya watu waliofikishwa mahakamani hapo kwa siku ya leo ambao wanakabiliwa na kesi za uhaini kuwa 240 ikiwemo Mfanyabiashara Jenifer Jovin […]

Continue Reading »