Tag: LUHAGA Mpina aondolewa kwenye Orodha ya Wagombea Urais 2025

LUHAGA Mpina aondolewa kwenye Orodha ya Wagombea Urais 2025

Filed in Habari by on 15.09.2025 0 Comments
LUHAGA Mpina aondolewa kwenye Orodha ya Wagombea Urais 2025

LUHAGA Mpina aondolewa kwenye Orodha ya Wagombea Urais 2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imemuengua mgombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina. Taarifa kwa umma iliyotolewa leo, Septemba 15,2025, iliyosianiwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC, Ramadhani Kailima imesema jina lake limeondolewa kutokana na pingamizi la Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari. […]

Continue Reading »