Tag: NDONGANI Samba Gilbani Kutua Simba SC

NDONGANI Samba Gilbani Kutua Simba SC

Filed in Michezo, Usajili by on 15.01.2026 0 Comments
NDONGANI Samba Gilbani Kutua Simba SC

NDONGANI Samba Gilbani Kutua Simba SC Klabu ya Simba inatajwa kuwa katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa mlinzi wa kati wa Congo Brazzaville, Ndongani Samba Gilbani mwenye Umri wa Miaka 25 Kutoka Asante Kotoko ya Ghana. Inaelezwa usajli wa beki huyo mahiri ambaye ni nahodha wa Asante Kotoko ni pendekezo la kocha Stave Barker […]

Continue Reading »