NAFASI Za Kazi Rombo District Council

NAFASI Za Kazi Rombo District Council
NAFASI Za Kazi Rombo District Council
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo amepokea kibali cha Ajira mpya kutoka kwa Katibu Mkuu OR – Utumishi chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/A/25 cha tarehe 29.04.2025.
Hivyo anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa kutuma maombi kwa nafasi tisa (9) kama zilivyoainishwa Katika Tangazo hili la Ajira.
Kuona nafasi hizo 9 Pamoja na Jinsi ya Kutuma Maombi tafadhali Donwload PDF hapa chini.
Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Rombo.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?BOFYA HAPA KUDOWNLOAD PDF
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
