MATOKEO ya Mock ya Kidato cha Nne 2025

Filed in Elimu by on 07.07.2025 1 Comment
Share This Post
MATOKEO ya Mock ya Kidato cha Nne 2025

MATOKEO ya Mock ya Kidato cha Nne 2025

MATOKEO ya Mock ya Kidato cha Nne 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Mitihani ya majaribio (Mock) ni mitihani ya awali inayoiga mitihani halisi ya kitaifa Kila mwaka.

Mitihani hiyo huendeshwa na ofisi za elimu za mikoa au wilaya na husaidia kutathmini jinsi wanafunzi wanavyoweza kufaulu katika mitihani yao ya mwisho ya kidato cha nne (CSEE).

Hapa hapa chini ni Vitu vya Kuzingatia Kwa Wanafunzi Baada ya Kupokea Matokeo ya Mock Kidato Cha Nne

  • Changanua mahali ambapo alama zilipote na uwasiliana na Walimu kuhusu maeneo dhaifu kwako.
  • Unda Mpango wa Marudio Kwa kutimia matokeo hayo kuwa makini wa somo husika.
  • Jiunge na Vikundi vya Mafunzo kwani kunaweza kuboresha utendaji wako na kuwa vizuri kwaajili ya Mtihani wa mwisho wa NECTA.

Mambo ya Kuzingatia Kwa Upande wa Wazazi au Walezi.

  • Muhimize Mwanafunzi awe na utaratibu wa kusoma kila siku, lakini Kumbuka (kupumzika, lishe, na afya ya kihemko).
  • Wasiliana na walimu ili kufuatilia maendeleo yake.
  • Zingatia Shinikizo na Wasiwasi kwa Mwanafunzi wako kwani anaweza kufanya vibaya kwa sababu ya mfadhaiko.
  • Mara nyingi Wanafunzi wanahitaji mikakati bora wakati wa mitihani, Kujiamini kupita kiasi au Kutoridhika.

Aidha Matokeo ya Mock Kidato cha Nne ni zaidi ya matokeo ya majaribio, Matokeo hayo ni kioo cha utendakazi wa siku zijazo.

Kuona Matokeo ya Mitihani ya Kidato Cha Nne Mock 2025 Kila Mkoa tafadhali Chagua Mkoa wako hapa chini.

Share This Post

Tags:

Comments (1)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Halima says:

    Nataka matokeo ya mock wilaya form four 2025

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *