KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mtwara Municipal Council

Filed in Usaili by on 04.10.2025 0 Comments
Share This Post

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mtwara Municipal Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mtwara Municipal Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia
masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11
ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025,
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mtwara Mjini anawatangazia Waombaji wa nafasi ya Wasimamizi wa Vituo vya Kupigia Kura na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya Kupigia kura kufika kwenye usaili Tarehe 06/10/2025 katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mtwara Ufundi kuanzia saa 1:30 Asubuhi.

Aidha, usaili wa nafasi ya Makarani Waongozaji wapiga kura utafanyika tarehe 07/10/2025 katika ukumbi huohuo kuanzia saa 1:30 Asubuhi.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *