nijuze's Latest Posts

NAFASI Za Kazi Lifewater Tanzania

Filed in Ajira by on 10.03.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Lifewater Tanzania

NAFASI Za Kazi Lifewater Tanzania Lifewater International ni shirika la Kikristo lililojitolea kutoa huduma endelevu, salama za maji, usafi wa mazingira, na usafi (WASH) kwa jamii za vijijini, ambazo hazina huduma za kutosha. Shirika hilo lilianzishwa mwaka wa 1977 likilenga katika suluhisho za muda mrefu za umaskini wa maji, hasa katika Afrika Kusini mwa Jangwa […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Barrick Mining Corporation

Filed in Ajira by on 10.03.2026 1 Comment
NAFASI Za Kazi Barrick Mining Corporation

NAFASI Za Kazi Barrick Mining CorporationNAFASI Za Kazi Barrick Mining Corporation Mgodi wa dhahabu wa North Mara upo Kaskazini Magharibi mwa Tanzania katika wilaya ya Tarime mkoani Mara. Mgodi huo upo karibu kilomita 100 Mashariki mwa Ziwa Victoria na kilomita 20 kusini mwa mpaka wa Kenya. Mgodi huo ni pamoja wa shimo la wazi na […]

Continue Reading »

NAFASI 100 Za Walimu Daraja la III A, III B na III C Tunduru District Council

Filed in Ajira by on 09.03.2026 0 Comments
NAFASI 100 Za Walimu Daraja la III A, III B na III C Tunduru District Council

NAFASI 100 Za Walimu Daraja la III A, III B na III C Tunduru District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi za Mkataba za Mwalimu III A, Mwalimu III B na Mwalimu III C Kama Zilizoanishwa hapa chini kwenye […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 09/03/2026

Filed in Kuitwa Kazini by on 09.03.2026 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 09/03/2026

KUITWA Kazini UTUMISHI 09/03/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 16-03-2025 na tarehe 14-02-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »

NAFASI Za Ufadhili wa Masomo nchini Indonesia 2026/2027

Filed in Elimu by on 07.03.2026 0 Comments
NAFASI Za Ufadhili wa Masomo nchini Indonesia 2026/2027

NAFASI Za Ufadhili wa Masomo nchini Indonesia 2026/2027 Wizara imepokea nafasi za ufadhili wa masomo ya elimu ya juu kwa Watumishi wa Umma kutoka Shirika la Misaada la Indonesia kwa mwaka wa Masomo 2026-2027 kwenye vyuo mbalimbali nchini humo. Ili kukamilisha maombi ya “Scholarship” hizo, muombaji awasilishe fomu ya maombi kupitia barua pepe maalum iliyoandaliwa […]

Continue Reading »

NAFASI Za Mbeya City Council

Filed in Ajira by on 07.03.2026 0 Comments
NAFASI Za Mbeya City Council

NAFASI Za Mbeya City Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya anawatangazia watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi kumi na tisa (19) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa kada ifuatayo kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

KUITWA Kazini MUCE March 2026

Filed in Usaili by on 07.03.2026 0 Comments
KUITWA Kazini MUCE March 2026

KUITWA Kazini MUCE March 2026 Naibu Rasi – Mipango, Fedha na Utawala wa Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) anapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 13 Februari, 2026 kuwa majina ya walioitwa kazini ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu mbalimbali za ajira kuanzia tarehe 09 Machi, 2026 […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili TAA March 2026

Filed in Usaili by on 07.03.2026 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili TAA March 2026

KUITWA Kwenye Usaili TAA March 2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 15/03/2026 hadi 15/04/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi JTI Tanzania

Filed in Ajira by on 04.03.2026 2 Comments
NAFASI Za Kazi JTI Tanzania

NAFASI Za Kazi JTI Tanzania JTI – Japan Tobacco International ni mojawapo ya watengenezaji wakubwa watatu wa kimataifa wa bidhaa Kubwa za Tumbaku. Kampuni hodhi ni JT International SA na yenye makao yake makuu Tokyo nchini Japan, Geneva nchini Uswisi na Raleigh, North Carolina. JTI Tanzania inatafuta watu wenye nia pamoja na sifa stahiki kujaza […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Smollan Tanzania Ltd

Filed in Ajira by on 04.03.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Smollan Tanzania Ltd

NAFASI Za Kazi Smollan Tanzania Ltd Smollan Tanzania Ltd ni kampuni ya suluhisho za rejareja na masoko ya shambani inayofanya kazi nchini Tanzania, ikibobea katika mnyororo wa usambazaji, mauzo, na utekelezaji wa dukani kwa chapa za FMCG. Kampuni hiyo, ambayo ni sehemu ya kundi la kimataifa la Smollan lililoanzishwa mwaka wa 1931, hutoa huduma ikiwa […]

Continue Reading »