nijuze's Latest Posts

KUITWA Kwenye Usaili MUST 03/03/2026

Filed in Usaili by on 03.03.2026 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili MUST 03/03/2026

KUITWA Kwenye Usaili MUST 03/03/2026 Makamu Mkuu wa Chuo,Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 05/03/2026 hadi 06/03/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili TAA, TASAC, CBE, IAE, GST, TBA, MOI, TPC, TAWIRI na TASHICO 02/03/2026

Filed in Usaili by on 02.03.2026 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili TAA, TASAC, CBE, IAE, GST, TBA, MOI, TPC, TAWIRI na TASHICO 02/03/2026

KUITWA Kwenye Usaili TAA, TASAC, CBE, IAE, GST, TBA, MOI, TPC, TAWIRI na TASHICO 02/03/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST), Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni – Kigoma

Filed in Ajira by on 02.03.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni – Kigoma

NAFASI Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni – Kigoma Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni inawatangazia wananchi wote wenye sifa kuomba nafasi za mkataba wa kujitolea (Volunteer Contract) katika idara mbalimbali za hospitali kama ifuatavyo kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi TMJ Super Specialized Polyclinic

Filed in Ajira by on 01.03.2026 1 Comment
NAFASI Za Kazi TMJ Super Specialized Polyclinic

NAFASI Za Kazi TMJ Super Specialized Polyclinic TMJ Super Specialized Polyclinic ndiyo ya kwanza inayotoa huduma salama ya kibinafsi Level 5 na ISO 9001:2015 iliyoidhinishwa na Super Specialized Polyclinic nchini Tanzania. TMJ Super Specialized Polyclinic iliyopo eneo la 46, Barabara ya Mbozi, Chang’ombe wilayani Temeke, imepewa leseni ipasavyo na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Mwanga Hakika Bank

Filed in Ajira by on 01.03.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Mwanga Hakika Bank

NAFASI Za Kazi Mwanga Hakika Bank Mwanga Hakika Bank, ambayo jina lake rasmi ni Mwanga Hakika Bank Limited, ni benki ya biashara nchini Tanzania, ambayo imepewa leseni na Benki Kuu ya Tanzania BOT. Mwanga Hakika Bank ilianzishwa mwaka 2019 kufuatia kuunganishwa kwa taasisi tatu za fedha za Tanzania, ambazo ni: EFC Tanzania Microfinance Bank (EFC), […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kujiunga na VETA Kwa Kozi za Muda Mrefu Chuo Cha Tehama Veta Kipawa 2026

Filed in Usajili by on 01.03.2026 0 Comments
NAFASI Za Kujiunga na VETA Kwa Kozi za Muda Mrefu Chuo Cha Tehama Veta Kipawa 2026

NAFASI Za Kujiunga na VETA Kwa Kozi za Muda Mrefu Chuo Cha Tehama Veta Kipawa 2026 Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inakaribisha maombi ya kujiunga na Elimu na Mafunzo ya Ufundi Sanifu Ngazi ya Cheti (NTA level 4) kwa mwaka wa mafunzo utakaonza Machi 2026 kwenye chuo cha TEHAMA VETA KIPAWA […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili DUCE 28/02/2026

Filed in Usaili by on 01.03.2026 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili DUCE 28/02/2026

KUITWA Kwenye Usaili DUCE 28/02/2026 Rasi, Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 11/03/2026 hadi 12/03/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Chemba District Council

Filed in Ajira by on 28.02.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Chemba District Council

NAFASI Za Kazi Chemba District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba anawatangazia watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi nane (08) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Wanging’ombe District Council

Filed in Ajira by on 28.02.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Wanging’ombe District Council

NAFASI Za Kazi Wanging’ombe District Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi tatu (3) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI 42 Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani Tumbi

Filed in Ajira by on 27.02.2026 0 Comments
NAFASI 42 Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani Tumbi

NAFASI 42 Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani Tumbi Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani Tumbi anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kujitolea (42) katika Hospitali hii, baada ya kupata Muongozo wa nafasi za kujitolea kutoka ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala […]

Continue Reading »