nijuze's Latest Posts

KUITWA Kwenye Usaili Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) February 2026

Filed in Usaili by on 17.02.2026 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) February 2026

KUITWA Kwenye Usaili Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) February 2026 Makamu Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 21/02/2026 hadi 24/02/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo […]

Continue Reading »

NAFASI 20 Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga

Filed in Ajira by on 14.02.2026 0 Comments
NAFASI 20 Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga

NAFASI 20 Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi za vijana wa kujitolea kama ifuatavyo. ✅DAKTARI II-NAFASI-6 Sifa za Kitaaluma kwa Mwombaji Shahada ya udaktari kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na […]

Continue Reading »

MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na VETA Awamu ya Pili 2026

Filed in Elimu by on 14.02.2026 0 Comments
MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na VETA Awamu ya Pili 2026

MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na VETA Awamu ya Pili 2026 MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA VETA KWA MUHULA WA MASOMO ULIOANZA MWEZI JANUARI, 2026, AWAMU YA PILI (SECOND SELECTION) Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inapenda kuutangazia umma kuwa uchaguzi wa walioomba kujiunga na elimu na mafunzo ya ufundi stadi […]

Continue Reading »

DIRISHA la Usajili Majira ya Baridi limefungwa rasmi, hizi hapa ni Sajili Bora 2026

Filed in Michezo by on 14.02.2026 0 Comments
DIRISHA la Usajili Majira ya Baridi limefungwa rasmi, hizi hapa ni Sajili Bora 2026

DIRISHA la Usajili Majira ya Baridi limefungwa rasmi, hizi hapa ni Sajili Bora 2026 Katika wiki chache zilizopita, vilabu vingi vilitumia fursa hii kuimarisha vikosi vyao, kuziba mapengo na kuongeza kina cha wachezaji kuelekea hatua ya mwisho ya msimu. Baadhi ya vilabu vilifanya maboresho madogo, huku vingine vikikamilisha dili kubwa zilizoweza kubadilisha ushindani katika ligi […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Coop Bank Tanzania

Filed in Ajira by on 14.02.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Coop Bank Tanzania

NAFASI Za Kazi Coop Bank Tanzania Coop Bank Tanzania ni taasisi ya kisasa ya kifedha iliyoanzishwa kupitia muungano wa kihistoria wa Kilimanjaro Cooperative Bank (KCBL) na Tandahimba Community Bank (TCBL) tarehe 26 Mei, 2024. Benki hiyo ilianzishwa ikiwa na maono dhabiti ya kuleta mageuzi ya benki za ushirika na za kijamii nchini Tanzania kupitia uvumbuzi, […]

Continue Reading »

NACTVET Vyuo Vinavyodahili Mkupuo wa Machi 2026/2027

Filed in Elimu by on 13.02.2026 0 Comments
NACTVET Vyuo Vinavyodahili Mkupuo wa Machi 2026/2027

NACTVET Vyuo Vinavyodahili Mkupuo wa Machi 2026/2027 Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linapenda kuufahamisha umma kuwa udahili wa wanafunzi katika ngazi ya Astashahada na Stashahada kwa kozi zote, isipokuwa kozi za Afya Tanzania Bara, umeanza tarehe 10 Februari, 2026 na utakamilika tarehe 28 Februari 2026. Udahili huu […]

Continue Reading »

NAFASI 65 Za Daktari Wa Upasuaji wa Kinywa na Meno Daraja la II MDAs & LGAs

Filed in Ajira by on 13.02.2026 0 Comments
NAFASI 65 Za Daktari Wa Upasuaji wa Kinywa na Meno Daraja la II MDAs & LGAs

NAFASI 65 Za Daktari Wa Upasuaji wa Kinywa na Meno Daraja la II MDAs & LGAs Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya and MDAs & LGAs anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 65 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili hapa chini ✅DAKTARI […]

Continue Reading »

NAFASI 30 Za Tabibu wa Kinywa na Meno Daraja la II MDAs & LGAs

Filed in Ajira by on 13.02.2026 0 Comments
NAFASI 30 Za Tabibu wa Kinywa na Meno Daraja la II MDAs & LGAs

NAFASI 30 Za Tabibu wa Kinywa na Meno Daraja la II MDAs & LGAs Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya and MDAs & LGAs anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 30 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili hapa chini ✅TABIBU WA KINYWA […]

Continue Reading »

NAFASI 90 Za Tabibu Msaidizi Daraja la II MDAs & LGAs

Filed in Ajira by on 13.02.2026 0 Comments
NAFASI 90 Za Tabibu Msaidizi Daraja la II MDAs & LGAs

NAFASI 90 Za Tabibu Msaidizi Daraja la II MDAs & LGAs Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya and MDAs & LGAs anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 90 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili hapa chini ✅TABIBU MSAIDIZI DARAJA LA II (CLINICAL […]

Continue Reading »

NAFASI 100 Za Afisa Muuguzi Msaidizi Daraja la II MDAs & LGAs

Filed in Ajira by on 13.02.2026 0 Comments
NAFASI 100 Za Afisa Muuguzi Msaidizi Daraja la II MDAs & LGAs

NAFASI 100 Za Afisa Muuguzi Msaidizi Daraja la II MDAs & LGAs Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya and MDAs & LGAs anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 100 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili hapa chini ✅AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA […]

Continue Reading »