nijuze's Latest Posts

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 18-20/01/2026

Filed in Usaili by on 20.01.2026 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 18-20/01/2026

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 18-20/01/2026 Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI uliofanyika tarehe 18-20/01/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. MPISHI DARAJA LA II (COOK II ) FUNDI SANIFU DARAJA LA II

Continue Reading »

NAFASI Za Walimu Chunya Pre & Primary English Medium

Filed in Ajira by on 20.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Walimu Chunya Pre & Primary English Medium

NAFASI Za Walimu Chunya Pre & Primary English Medium Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya anawatangazia wananchi wenye sifa za kujaza nafasi za Ajira Ualimu ya Muda (Vibarua) katika Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza (CHUNYA PRE & PRIMARY ENGLISH MEDIUM). Nafasi za Ualimu zinazohitajika 5 Ngazi ya Stashahada 2 […]

Continue Reading »

CLATOUS Chotta Chama arejea Simba SC

Filed in Michezo, Usajili by on 20.01.2026 0 Comments
CLATOUS Chotta Chama arejea Simba SC

CLATOUS Chotta Chama arejea Simba SC Klabu ya Simba imetangaza kumrejesha kiungo Clatous Chotta Chama ‘Mwamba wa Lusaka’. Chama amerejea Simba baada ya msimu mmoja na nusu tangu aachane na Klabu hiyo. Chama amesaini mkataba wa mwaka mmoja na nusu, akitambulishwa muda mfupi baada ya kukamilika Kwa mchezo wa Ligi Kuu Kati ya Singida BS […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 20/01/2026

Filed in Kuitwa Kazini by on 20.01.2026 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 20/01/2026

KUITWA Kazini UTUMISHI 20/01/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 18-01-2025 na tarehe 22-12-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »

RASMI Mahamoud Tanja Kassali atambulishwa Simba

Filed in Michezo by on 20.01.2026 0 Comments
RASMI Mahamoud Tanja Kassali atambulishwa Simba

RASMI Mahamoud Tanja Kassali atambulishwa Simba Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa mlinda lango Mahamoud Tanja Kassali Kutoka AS FAN ya Kwao Niger. Kassali ametua Simba kuchukua nafasi ya Moussa Camara ambaye majeraha yamepelekea kuondolewa kikosini. Aidha Camara ataendelea kuwa mchezaji wa Simba lakini jina lake litaondolewa kwenye usajili ili kumpisha Kassali.

Continue Reading »

SIFA na Vifaa vinavyotakiwa wakati wa kuripoti Makambini JKT

Filed in Ajira by on 20.01.2026 0 Comments
SIFA na Vifaa vinavyotakiwa wakati wa kuripoti Makambini JKT

SIFA na Vifaa vinavyotakiwa wakati wa kuripoti Makambini JKT 2026 Zifuatazo ni Sifa za Mwombaji na Vifaa vinavyotakiwa wakati wa kuripoti Makambini Awe raia wa Tanzania. Umri. Kwa Vijana wenye Elimu ya Darasa la Saba kutoka Tanzania Bara na Vijana wenye Elimu ya kidato cha Pili kutoka Zanzibar, umri ni kuanzia miaka 16 hadi 18, […]

Continue Reading »

SIFA Za Kujiunga na Jeshi la kujenga Taifa (JKT)

Filed in Ajira by on 20.01.2026 0 Comments
SIFA Za Kujiunga na Jeshi la kujenga Taifa (JKT)

SIFA Za Kujiunga na Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Jeshi la kujenga Taifa (JKT) limekuwa linapokea na kuendesha Mafunzo yahusuyo Ulinzi wa Taifa, uzalendo, Ujasiliamali, Ujasili (kupitia mafunzo ya Kilimo, Ufugaji na Biashara) kwa nyakati tofauti tofauti kadri ya maelekezo kutoka Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Vijana wa JKT wamegawanyika katika makundi […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kujiunga na Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa kujitolea kwa mwaka 2026

Filed in Ajira, Elimu by on 20.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kujiunga na Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa kujitolea kwa mwaka 2026

NAFASI Za Kujiunga na Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa kujitolea kwa mwaka 2026 Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, Meja Jenerali Rajabu Mabele, anawataarifu Vijana wote wa Tanzania Bara na Visiwani nafasi za kujiunga na Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa kujitolea kwa mwaka 2026. Utaratibu wa Vijana kuomba na hatimaye kuchaguliwa […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 19/01/2026

Filed in Kuitwa Kazini by on 20.01.2026 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 19/01/2026

KUITWA Kazini UTUMISHI 19/01/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 04-01-2025 na tarehe 22-12-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »

RASMI Nickson Kibabage ni Mnyama

Filed in Michezo, Usajili by on 19.01.2026 0 Comments
RASMI Nickson Kibabage ni Mnyama

RASMI Nickson Kibabage ni Mnyama Klabu ya Simba imetambulisha usajili wa beki wa kushoto Nickson Kibabage. Kibabage ametua kwa Wekundu hao wa Msimbazi akitokea klabu ya Singida Black Stars. Beki huyo wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ mwenye Umri wa miaka 25 amewahi kucheza soka la kulipwa nchini Morocco kabla ya kurejea nchini […]

Continue Reading »