nijuze's Latest Posts

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 19/01/2026 

Filed in Usaili by on 19.01.2026 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 19/01/2026 

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 19/01/2026 Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI uliofanyika tarehe 19/01/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II (OFFICE MANAGEMENT SECRETARY GRADE II) OFFICE MANAGEMENT […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili NHC, TMC, VETA, MDAs & LGAs, MNH na NAOT 18/01/2026

Filed in Usaili by on 18.01.2026 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili NHC, TMC, VETA, MDAs & LGAs, MNH na NAOT 18/01/2026

KUITWA Kwenye Usaili NHC, TMC, VETA, MDAs & LGAs, MNH na NAOT 18/01/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs, Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT), Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Tume ya Madini (TMC), National Housing Corporation (NHC), Hospitali ya Taifa Muhimbili […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 18/01/2026

Filed in Kuitwa Kazini by on 18.01.2026 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 18/01/2026

KUITWA Kazini UTUMISHI 18/01/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 16-01-2025 na tarehe 22-12-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »

MSIMAMO PBZ Premier League 2025/2026

Filed in Michezo by on 18.01.2026 0 Comments
MSIMAMO PBZ Premier League 2025/2026

MSIMAMO PBZ Premier League 2025/2026 Ligi Kuu ya Zanzibar ambayo inajulikana kama Ligi Kuu ya PBZ, ni Ligi ya daraja la juu la Chama cha Soka Zanzibar. PBZ Premier League ilianzishwa kwa mara ya kwanza mnamo 1926 na ikawa rasmi Ligi Kuu mwaka 1981. Hapa chini tumekuwekea Msimamo wa Ligi Kuu ya Zanzibar/PBZ Premier League […]

Continue Reading »

MATOKEO Simba SC vs Mtibwa Sugar 18 January 2026

Filed in Michezo by on 18.01.2026 0 Comments
MATOKEO Simba SC vs Mtibwa Sugar 18 January 2026

MATOKEO Simba SC vs Mtibwa Sugar 18 January 2026

Continue Reading »

HUSSEIN Masalanga ni Mwananchi

Filed in Michezo by on 18.01.2026 0 Comments
HUSSEIN Masalanga ni Mwananchi

HUSSEIN Masalanga ni Mwananchi Klabu ya Yanga imetangaza kukamilisha Usajili wa golikipa, Hussein Masalanga kutoka Singida Black Stars. Aliyetarajia kutangazwa ni Yona Amos ambaye kwa wiki kadhaa amehusishwa kujiunga na Klabu hiyo. Masalanga ametoka kuitumikia timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ katika michuano ya Afcon 2025 akiwa sehemu ya kikosi kilichoweka rekodi ya kufuzu […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi TCRA Tanzania

Filed in Ajira by on 18.01.2026 3 Comments
NAFASI Za Kazi TCRA Tanzania

NAFASI Za Kazi TCRA Tanzania Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (URT) ni mwanachama wa Umoja wa Posta wa Pan African (PAPU). Kwa niaba ya URT, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kujulisha umma kwamba PAPU inakaribisha maombi kutoka kwa waliohitimu ipasavyo Watanzania kwa nafasi zifuatazo zinazopatikana Makao Makuu ya (PAPU) Arusha, Tanzania chini ya Azimio […]

Continue Reading »

KIKOSI Cha Simba SC vs Mtibwa Sugar FC Leo 18 January 2026

Filed in Michezo by on 18.01.2026 0 Comments
KIKOSI Cha Simba SC vs Mtibwa Sugar FC Leo 18 January 2026

KIKOSI Cha Simba SC vs Mtibwa Sugar FC Leo 18 January 2026 Kikosi Cha Simba SC kinachoanza dhidi ya Mtibwa Sugar FC Leo tarehe 18 January 2026 1: Hussein Abel 2:Shomari Kapombe 3:Anthony Mligo 4:Wilson Nangu 5:Rushine De Reuck 6: Yusuph Kagoma 7:Mohammed Bajaber 8:Naby Camara 9:Seleman Mwalimu 10:Neo Maema 11:Elie Mpanzu

Continue Reading »

SERIKALI yatoa tamko kima cha chini cha Mishahara Sekta binafsi

Filed in Makala by on 18.01.2026 0 Comments
SERIKALI yatoa tamko kima cha chini cha Mishahara Sekta binafsi

SERIKALI yatoa tamko kima cha chini cha Mishahara Sekta binafsi Serikali imetoa tamko kuhusu amri ya kima cha chini cha Mshahara kwa Sekta Binafsi na kuwataka waajiri na wafanyakazi wa sekta hiyo kuzingatia viwango vilivyowekwa katika utekelezaji wa amri hiyo. Hayo yamebainishwa Januari 16, 2025 Jijini Dodoma na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu […]

Continue Reading »

5,746 Wachaguliwa Kujiunga na Mafunzo ya Uanagenzi 2026

Filed in Elimu by on 18.01.2026 0 Comments
5,746 Wachaguliwa Kujiunga na Mafunzo ya Uanagenzi 2026

5,746 Wachaguliwa Kujiunga na Mafunzo ya Uanagenzi 2026 Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano imetangaza vijana 5,746 kujiunga na mafunzo ya uanagenzi ambayo yatawawezesha kupata ujuzi wa vitendo utakao wasaidia kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi kwa kujiajiri na kuajiri wenzao. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri […]

Continue Reading »