nijuze's Latest Posts

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 22/01/2026

Filed in Usaili by on 24.01.2026 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 22/01/2026

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 22/01/2026 Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Vitendo uliofanyika tarehe 22/01/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. FERRY CAPTAIN II (1)

Continue Reading »

MSIMAMO Kundi la Simba SC CAF Champions League 2025/2026

Filed in Michezo by on 24.01.2026 0 Comments
MSIMAMO Kundi la Simba SC CAF Champions League 2025/2026

MSIMAMO Kundi la Simba SC CAF Champions League 2025/2026 Muonekano wa kundi D la CAF Champions League baada ya kukamilika kwa mechi za raundi ya kwanza. Standings provided by Sofascore

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 23/01/2026

Filed in Kuitwa Kazini by on 24.01.2026 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 23/01/2026

KUITWA Kazini UTUMISHI 23/01/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 21-03-2025 na tarehe 22-12-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »

MSIMAMO Kundi la Yanga CAF Champions League 2025/2026

Filed in Michezo by on 24.01.2026 0 Comments
MSIMAMO Kundi la Yanga CAF Champions League 2025/2026

MSIMAMO Kundi la Yanga CAF Champions League 2025/2026 Huu hapa chini ni Msimamo wa Kundi B Standings provided by Sofascore

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Alexia Hospital

Filed in Ajira by on 23.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Alexia Hospital

NAFASI Za Kazi Alexia Hospital Hospitali ya Alexia ni kituo kilichosajiliwa chini ya Sheria ya Bodi ya Ushauri ya Hospitali za kibinafsi (PHAB) na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, usajili Na. 073359. Hospitali ya Alexia ilianzishwa Aprili 2014 kama Zahanati ya Alexia, Mwaka 2016 kilipandishwa hadhi na kuwa kituo cha […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Jitegemee Holdings Company LTD

Filed in Ajira by on 22.01.2026 1 Comment
NAFASI Za Kazi Jitegemee Holdings Company LTD

NAFASI Za Kazi Jitegemee Holdings Company LTD Jitegemee Holdings Company (JHCL) Ltd ni kampuni ya uchimbaji madini yenye ofisi za ushirika jijini Dar es Salaam, Tanzania, Afrika Mashariki. Kampuni ya JHCL ilisajiliwa chini ya BRELA tarehe 17 Machi 2020 na inamilikiwa kikamilifu na wawekezaji wa kitaasisi wanaoaminika kutoka Tanzania na inaendeshwa kwa asilimia 100 na […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili NAOT, MNH, RUWASA na TMC 2026

Filed in Usaili by on 22.01.2026 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili NAOT, MNH, RUWASA na TMC 2026

KUITWA Kwenye Usaili NAOT, MNH, RUWASA na TMC 2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Tume ya Madini (TMC), Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) anapenda kuwataarifu […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Songea District Council

Filed in Ajira by on 22.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Songea District Council

NAFASI Za Kazi Songea District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tano (5) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF YA TANGAZO HAPA

Continue Reading »

KIKOSI Cha Yanga Kilichoifuata Al Ahly Misri

Filed in Michezo by on 21.01.2026 0 Comments
KIKOSI Cha Yanga Kilichoifuata Al Ahly Misri

KIKOSI Cha Yanga Kilichoifuata Al Ahly Misri Kikosi cha Yanga kimesafiri Alfajiri ya leo Jumatano, Januari 21 kuelekea Misri kwaajili ya mchezo wa Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAFCL) dhidi ya Al Ahly. Mchezo huo utapigwa Ijumaa ya Januari 23 mji wa Alexndria. Yanga imeondoka na msafara uliojumuisha wachezaji 24, benchi la ufundi […]

Continue Reading »

KIKOSI Cha Simba kilichoifuata Esperance Tunisia

Filed in Michezo by on 21.01.2026 0 Comments
KIKOSI Cha Simba kilichoifuata Esperance Tunisia

KIKOSI Cha Simba kilichoifuata Esperance Tunisia Kikosi Cha Simba SC kimesafiri Alfajiri ya leo Jumatano Januari 21 kuelekea nchini Tunisia tayari kwa mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Esperance utakaopigwa Jumamosi, Januari 24 huko Tunisia. Katika kikosi kilichosafiri kiungo Clatous Chama ni miongoni mwa wachezaji waliojumuishwa kwenye msafara. Nyota wengine wapya waliosafiri ni mlinda […]

Continue Reading »