nijuze's Latest Posts

NAFASI Za Kazi BRAC Maendeleo Tanzania

Filed in Ajira by on 18.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi BRAC Maendeleo Tanzania

NAFASI Za Kazi BRAC Maendeleo Tanzania BRAC Maendeleo Tanzania ni sehemu ya shirika kuu la maendeleo lililoanzishwa shughuli zake mwaka 2006 nchini Tanzania, zikilenga maeneo mada ya Kilimo, Vijana na Uwezeshaji wa Wanawake, Usalama wa Chakula na Maisha. BRAC Maendeleo Tanzania pia inajihusisha na kukuza maendeleo ya watoto wadogo kupitia mipango mbalimbali, ikiwa ni pamoja […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi WFP Tanzania

Filed in Ajira by on 18.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi WFP Tanzania

NAFASI Za Kazi WFP Tanzania WFP ni Shirika linalotoa msaada wa chakula na lishe wakati wa majanga, ikiwa ni pamoja na wakimbizi kutoka nchi jirani, na kusaidia kujenga uwezo wa kustahimili majanga yajayo. Shirika linafanya kazi na Wizara ya Afya nchini Tanzania kuboresha lishe kupitia sera zilizorekebishwa na kwa kuunga mkono tafiti kuhusu athari za […]

Continue Reading »

VIWANGO Vipya Vya Mishahara ya Sekta Binafsi

Filed in Makala by on 18.01.2026 0 Comments
VIWANGO Vipya Vya Mishahara ya Sekta Binafsi

VIWANGO Vipya Vya Mishahara ya Sekta Binafsi Sheria ya Taasisi za Kazi, Sura 300 pamoja na mambo mengine, imempa mamlaka Waziri mwenye dhamana na masuala ya kazi kuunda Bodi ya Kima cha Chini cha Mshahara kwaajili ya kufanya utafiti na kushauri kuhusu viwango vya chini vya mshahara pamoja na masharti mengine ya kazi. Itakumbukwa kuwa […]

Continue Reading »

OSMAIL Olivier Toure Kutua Simba SC

Filed in Michezo, Usajili by on 18.01.2026 0 Comments
OSMAIL Olivier Toure Kutua Simba SC

OSMAIL Olivier Toure Kutua Simba SC Klabu ya Simba inatajwa kukamilisha usajili wa beki wa kati, Osmail Olivier Toure kutoka klabu ya Baniyas ya UAE. Toure raia wa Ivory Coast mwenye Umri wa miaka 28, kabla ya kuelekea Arabuni aliitumikia klabu ya Stellenbosch iliyokuwa ikinolewa na kocha Steve Barker. Toure pia amewahi kuzitumikia Marumo Gallants […]

Continue Reading »

MAHAMOUD Tanja Kassila mrithi wa Moussa Camara Simba SC

Filed in Michezo, Usajili by on 18.01.2026 0 Comments
MAHAMOUD Tanja Kassila mrithi wa Moussa Camara Simba SC

MAHAMOUD Tanja Kassila mrithi wa Moussa Camara Simba SC Rasmi mlinda lango Moussa Camara hatakuwa sehemu ya kikosi cha Simba baada ya klabu hiyo kukamilisha usajili wa golikipa, Mahamoud Tanja Kassila. Kassila ametua Simba kuchukua nafasi ya Camara ambaye majeraha yamepelekea kuondolewa kikosini akitokea klabu ya AS FAN ya kwao Niger. Kocha Mkuu wa Simba […]

Continue Reading »

CAF yafuta Mashindano ya CHAN, Sababu Zatajwa

Filed in Michezo by on 18.01.2026 0 Comments
CAF yafuta Mashindano ya CHAN, Sababu Zatajwa

CAF yafuta Mashindano ya CHAN, Sababu Zatajwa Shirikisho la soka Barani Afrika limetangaza rasmi kufuta Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa ndani (CHAN). Uamuzi huo ulithibitishwa na Rais wa CAF, Dkt. Patrice Motsepe wakati wa mkutano na Waandishi wa habari uliofanyika Morocco Jumamosi, January 17,2026. Dkt. Motsepe alieleza moja kwa moja sababu ya […]

Continue Reading »

MSIMAMO England Premier League 2025/2026

Filed in Michezo by on 18.01.2026 0 Comments
MSIMAMO England Premier League 2025/2026

Msimamo England Premier League 2025/2026, England Premier League Standing 2025/26, EPL Standing 2024/26. Ligi Kuu ya EPL 2025/26 ni msimu wa 34 wa Ligi Kuu na msimu wa 127 wa soka la daraja la juu la Uingereza. Klabu ya Liverpool ndio Mabingwa watetezi, wakiwa wameshinda taji lao la pili la Premier League (na taji la […]

Continue Reading »

RATIBA ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2026

Filed in Elimu by on 18.01.2026 0 Comments
RATIBA ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2026

RATIBA ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2026 Baraza la Mtihani la Taifa (NECTA) limetangaza ratiba ya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) 2026. Katika tangazo la ratiba la NECTA, mtihani huo utaanza Jumatatu ya tarehe 4 na kumalizika Jumatatu ya tarehe 25 May 2026. Ratiba Kamili ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2026 imeambatanishwa hapa […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Muhimbili University of Health and Allied Sciences

Filed in Ajira by on 18.01.2026 1 Comment
NAFASI Za Kazi Muhimbili University of Health and Allied Sciences

NAFASI Za Kazi Muhimbili University of Health and Allied Sciences Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kinawaalika waombaji Wenye sifa kutuma maombi Katika nafasi Mbalimbali zilizoanishwa hapa chini. DONWLOAD PDF YA TANGAZO HAPA

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 17/01/2026

Filed in Kuitwa Kazini by on 18.01.2026 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 17/01/2026

KUITWA Kazini UTUMISHI 17/01/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02-01-2025 na tarehe 22-12-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »