nijuze's Latest Posts

LIBASSE Gueye ni Mnyama

Filed in Michezo, Usajili by on 17.01.2026 0 Comments
LIBASSE Gueye ni Mnyama

LIBASSE Gueye ni Mnyama Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji, Libasse Gueye mwenye Umri wa miaka 22 kutoka klabu ya Teungueth FC ya kwao Senegal. Nyota huyo ambaye alikuwemo kwenye kikosi cha Senegal kilichoshiriki michuano ya CHAN 2024 iliyofanyika nchini mwaka jana, anakuwa usajili wa kwanza kutambulishwa na Simba katika dirisha hili dogo […]

Continue Reading »

NICKSON Kibabage ni Mnyama

Filed in Michezo, Usajili by on 16.01.2026 0 Comments
NICKSON Kibabage ni Mnyama

NICKSON Kibabage ni Mnyama Baada ya mapendekezo ya kocha mkuu wa Simba Steve Barker aliyehitaji maboresho safu ya ulinzi upande wa kushoto, tayari uongozi umepiga hatua kuimarisha eneo hilo. Klabu hiyo imekamilisha usajili wa Mlinzi Nickson Kibabage Kutoka Singida Black Stars FC. Klabu ya Singida Black Stars Kupitia kurasa zake za Mitandao ya Kijamii imetoa […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Buchosa District Council

Filed in Ajira by on 16.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Buchosa District Council

NAFASI Za Kazi Buchosa District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Wilaya ya Buchosa anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi nane (08) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF YA MAJINA HAPA

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 16/01/2026

Filed in Kuitwa Kazini by on 16.01.2026 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 16/01/2026

KUITWA Kazini UTUMISHI 16/01/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-04-2025 na tarehe 22-12-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi BRAC Tanzania Finance Limited (BTFL)

Filed in Ajira by on 16.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi BRAC Tanzania Finance Limited (BTFL)

NAFASI Za Kazi BRAC Tanzania Finance Limited (BTFL) BRAC Tanzania Finance Limited (BTFL) ni sehemu ya moja ya mashirika makubwa ya maendeleo Duniani, yenye programu nyingi za maendeleo Duniani. BRAC inafanya kazi katika nchi 14 katika Asia na Afrika, BTFL ni taasisi maarufu ya mikopo midogo midogo nchini Tanzania, inatoa mikopo midogo hadi ya kati […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi British Council

Filed in Ajira by on 16.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi British Council

NAFASI Za Kazi British Council British Council ni shirika la Uingereza linalobobea katika fursa za kitamaduni na kielimu za kimataifa lilonafanya kazi katika zaidi ya nchi 100. British Council inalenga kuboresha ujuzi wa Kiingereza, kusaidia vijana, elimu, sanaa, na kukuza miunganisho kati ya Uingereza na Tanzania kupitia programu kama vile EQUIPT-ELT na Connecting Classrooms, ikilenga […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 15/01/2026

Filed in Kuitwa Kazini by on 16.01.2026 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 15/01/2026

KUITWA Kazini UTUMISHI 15/01/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 05-01-2025 na tarehe 22-12-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »

MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na VETA kupitia Mradi wa YEFFA

Filed in Elimu, Michezo by on 15.01.2026 0 Comments
MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na VETA kupitia Mradi wa YEFFA

MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na VETA kupitia Mradi wa YEFFA TANGAZO MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA VETA KWA MAFUNZO YA UFUNDI STADI KWA KOZI ZA MUDA MFUPI KUPITIA MRADI YEFFA Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inapenda kuutangazia umma kuwa uchaguzi wa walioomba kujiunga na elimu na mafunzo ya ufundi […]

Continue Reading »

LIBASSE Gueye Kutua Simba SC

Filed in Michezo, Usajili by on 15.01.2026 0 Comments
LIBASSE Gueye Kutua Simba SC

LIBASSE Gueye Kutua Simba SC Klabu ya Simba inatajwa kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa klabu Teungueth FC, Libasse Gueye mwenye Umri wa miaka 22. Nyota huyo ambaye alikuwemo kwenye kikosi cha Senegal kilichoshiriki michuano ya CHAN 2024 iliyofanyika nchini mwaka jana, anatarajiwa kuwasili nchini muda wowote. Kocha mpya wa Simba Steve Barker amehitaji maboresho […]

Continue Reading »

BEDIA Ikamba Kutua Simba SC

Filed in Michezo, Usajili by on 15.01.2026 0 Comments
BEDIA Ikamba Kutua Simba SC

BEDIA Ikamba Kutua Simba SC Klabu ya Simba inatajwa kufanya mazungumzo na mshambuliaji raia wa DR Congo, Bedia Ikamba, Kutoka Polisi ya Uganda ambaye ameonyesha ubora katika kufunga mabao pengine zaidi ya Steven Mukwala. Taarifa zinasema Simba imefanya Mazungumzo na Ikamba ambapo sasa faili la mshambuliaji huyo limepelekwa kwa kocha Steven Barker akisubiriwa kutoa majibu […]

Continue Reading »